We mkorofi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanatumia kamera tatu na laptop moja so si rahisi
Independent TelevisionRoma haikujengwa kwa Siku Moja.
Naamini kama ipo dhamira njema ya kujiboresha basi watabadilika, muhimu wapokee maoni ya Walaji/watazamaji na kuyafanyia kazi.
mkuu hata ubora wa picha ni mbovu mbovu ,picha inagiza sana ,kweli Azam wapo mbaliKatika hili Sportpesa wamechemka sana..Wangewapa hata Star TV au TBC...
Hawaoneshi dakika, hawaoneshi mfungaji anayeingia/anayetoka..Hawaoneshi hata penati zilizofungwa ama kupotezwa
Roma haikujengwa siku moja...Roma haikujengwa kwa Siku Moja.
Naamini kama ipo dhamira njema ya kujiboresha basi watabadilika, muhimu wapokee maoni ya Walaji/watazamaji na kuyafanyia kazi.
kwa kweeeeli aseee.Hahahaaa bora tutolee huko hasira za FA.
Ila mkuu yale matuta kidogo roho initoke,sikuwa na imani kabisa as Yanga huwa tunafeli always tukifikia stage hiyo.
Shukraan za dhati kwake Dida [emoji122] [emoji119] [emoji120]
Akikujibu ni tagRoma haikujengwa siku moja...
Kati ya Azam na ITV nani ana uzoefu kwenye Media?
ITV mzoefuRoma haikujengwa siku moja...
Kati ya Azam na ITV nani ana uzoefu kwenye Media?
Azam hata kuripoti hayo mashindano hajaripoti chochote, sijajua kususa au VpAzam naona kagoma kurusha mashindano ya kamari, bora ungewapa hata clouds TV ila IPP hakuna kabisa