SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

Hawa ndio wanalilia kupanda ndege kimataifa wakati timu ya Daraja la kwanza tena inayoshika nafasi ya 6 kwenye timu 7 inawapeleka puta na hatimae kuwafunga. Bora nafasi yao angepewa Kagera Sugar.
 
Wana msimbazi tayari kama kawaida kama dawa wameshaaga mashindano
 
Hawa ITV yaani bado sana kwenye kuonesha Mpira..picha mbovu..hakuna score board kwenye TV..bora wangewapa wenye fani yao Azam..by the way Singida wanaongoza goli moja.

Wale wenye kisimbusi cha Azam KTN ya Kenya wanaonesha vizuri zaidi.
Ungewapa hiyo tenda Azam
 
Simba yafa kiume Leo.!Yapigwa na timu ya daraja la kwanza kutoka Kenya.Inaitwa Nakuru All Stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…