SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

Hahahaaa bora tutolee huko hasira za FA.
Ila mkuu yale matuta kidogo roho initoke,sikuwa na imani kabisa as Yanga huwa tunafeli always tukifikia stage hiyo.
Shukraan za dhati kwake Dida [emoji122] [emoji119] [emoji120]
Ndiyo maana anapokea mshahara mzuri
 
Sijaona mpira kabisa, nasubiri mechi ya Bingwa Simba SC na Everton
06d521ebb315e8149e4390ef7c9862fa.jpg
 
Bora hata singida united, tunajua timu bado haijaungana. Sgd united isipoingiliwa na siasa itafanya vizuri. Simba ni mbovu sana,huwezi kutegemea wachezaji wa iana moja tu. Tazama walivyopoteana baada ya wachezaji wao kuwa timu ya taifa. Kocha kashindwa kabisa kutengeneza kikosi B chenye nguvu.
 
Back
Top Bottom