SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

Hawa Sport Pesa Vipi.
Nimeshangaa, ivi ni kwa nini, mashindano ya hawa SP yanafanyika wakati timu kubwa za TZ zimepeleka wachezaji wake ktk timu ya taifa ?
Nadhani wanataka timu za Kenya zichukue hili kombe.
Ingekua vizuri mashindano haya yafanyike wakati ambao timu zimesajiri na zinataka kuanza msimu mpya, au wakati wachezaji wote wa timu zote wapo.
Hapa mshindi atapatikana asiyestahili.
Awamu ijayo SP wajirekebishe.
 
Halafu kuna tatizo nimeliona kwenye ubandikaji wa bao la kuonesha dakika. Yaani eti wao ikishafika dakika 45 au 90 ndio mwisho hapo hapo inaganda hawaendelei mpaka waone bango la waamuzi kuonesha dakika, ndipo wanaanza kuhesabu dakika za nyongeza. Madhara yake ni kwamba dakika za nyongeza za mwamuzi zimeisha na kupuliza kipyenga lakini wao dakika za nyongeza za kwenye bango la itv bado zinaonesha bado dakika moja au dakika moja na nusu ziishe.
Hapo simba lazima wakate rufaa
 
Kwa gem updates bado sana ata mtu akipewa kadi hawaoneshi update kwa upole tu ningeomba wawaruhusu azam waoneshe izi gem ili tule uhondo ka wa vpl
ITV ndiyo tv yetu ya taifa wacha nawao wapige noti
 
192d68a831253db94b4bc83aeada9568.jpg
9411c8578de1feb2ed73614347f1a511.jpg
Hapo chacha!
 
Hawa Sport Pesa Vipi.
Nimeshangaa, ivi ni kwa nini, mashindano ya hawa SP yanafanyika wakati timu kubwa za TZ zimepeleka wachezaji wake ktk timu ya taifa ?
Nadhani wanataka timu za Kenya zichukue hili kombe.
Ingekua vizuri mashindano haya yafanyike wakati ambao timu zimesajiri na zinataka kuanza msimu mpya, au wakati wachezaji wote wa timu zote wapo.
Hapa mshindi atapatikana asiyestahili.
Awamu ijayo SP wajirekebishe.
Kwani Kenya hawana timu ya taifa?au huna habari ?inaitwa HARAMBEE STARS
 
Kwa matokeo haya angalau watanzania na wapenda soka ndiyo wajue kuwa simba wamezoea kubebwa
 
Kwani Kenya hawana timu ya taifa?au huna habari ?inaitwa HARAMBEE STARS
Angalia
Timu ya Simba imecheza bila ya wachezaji wake kumi na moja. (11)
Nakuru imewatumia wachezaji wake wote.
Huoni kasoro hapo ?

Yaani wakati timu kongwe za Kenya zinacheza na wachazaji wake wote,
Timumu kubwa za TZ zinacheza bila wachezaji nyota wake, huoni kama kuna ka njama kamefanyika hapo ili kombe liende Kenya ?
Nasema ili kuleta ushindani wa kweli, ligi ya Sport Pesa ingefanyika wakati timu zina wachezaji wake wote.
Hasa mwanzoni kabla ya msimu kuanza.
Ili kutoa mshindi sahihi.
Sio kwa kuvizia kama hivi.
 
Back
Top Bottom