Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndioo....hujui???mbao Daraja la pili
Mbao waliwaonea kwa murungulambao Daraja la pili
Teeeeeeeeh teeeeeeeeeh afadhaliImejitahid had kutolewa na penati
Hapo simba lazima wakate rufaaHalafu kuna tatizo nimeliona kwenye ubandikaji wa bao la kuonesha dakika. Yaani eti wao ikishafika dakika 45 au 90 ndio mwisho hapo hapo inaganda hawaendelei mpaka waone bango la waamuzi kuonesha dakika, ndipo wanaanza kuhesabu dakika za nyongeza. Madhara yake ni kwamba dakika za nyongeza za mwamuzi zimeisha na kupuliza kipyenga lakini wao dakika za nyongeza za kwenye bango la itv bado zinaonesha bado dakika moja au dakika moja na nusu ziishe.
ITV ndiyo tv yetu ya taifa wacha nawao wapige notiKwa gem updates bado sana ata mtu akipewa kadi hawaoneshi update kwa upole tu ningeomba wawaruhusu azam waoneshe izi gem ili tule uhondo ka wa vpl
Hapo chacha!
simba oyeeeeeeeeeeeee
Kwani Kenya hawana timu ya taifa?au huna habari ?inaitwa HARAMBEE STARSHawa Sport Pesa Vipi.
Nimeshangaa, ivi ni kwa nini, mashindano ya hawa SP yanafanyika wakati timu kubwa za TZ zimepeleka wachezaji wake ktk timu ya taifa ?
Nadhani wanataka timu za Kenya zichukue hili kombe.
Ingekua vizuri mashindano haya yafanyike wakati ambao timu zimesajiri na zinataka kuanza msimu mpya, au wakati wachezaji wote wa timu zote wapo.
Hapa mshindi atapatikana asiyestahili.
Awamu ijayo SP wajirekebishe.
Nasikia hadi sasa manara anautafutaPenalty ya agrey mpira umeonekana mlandizi muda huu bado haujatua.
AngaliaKwani Kenya hawana timu ya taifa?au huna habari ?inaitwa HARAMBEE STARS