Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Labda kwa kuibaSimba lazima wachukue hili kombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kwa kuibaSimba lazima wachukue hili kombe
SIMBA_Vs_NAKURU ALL STARS
All Goals and Highlights
#YANGA_Vs_TUSKER FC
All goals na Highlights 4-2 (Penalts)
YANGA Vs TUSKER FC, Mashabiki wa Yanga wamejaa Taifa kweli
Timu toka Tanzania zitakazokuwepo ni pamoja na Yanga, Simba Sc, Singida na Jang'ombe Boy's FC, Timu kutoka Kenya ni pamoja na Nakuru AllStar, AFCLeopard, Goh Maria na Tusker FC
NAHODHA wa AFC Leopard akinena jambo
![]()
Full Time 1-1
Leopard wamefuzu kwa penalt 5-4 dhidi ya Singida
![]()
Full time
Yanga 0-0 Tusker
Yanga anafuzu nusu fainal kwa
4-2 penalts
Full Time
Gor Mahia 2-0 Jang'ombe Boys
Gor Mahia wamefuzu nusu fainal
![]()
Simba imetolewa kwenye michuano kwa jumla ya penalts
5-4
![]()
![]()
Yanga Vs AFC Leopard
Gor Mahia Vs Nakuru All Stars
Yanga na AFC leopard leoRatiba ya leo ikoje?
Mkuu usisahau kutuletea infos za mechi ya Yanga leo pindi itakavyoanza kuchezaYanga na AFC leopard leo
Oky poaMkuu usisahau kutuletea infos za mechi ya Yanga leo pindi itakavyoanza kucheza
Mpira ni Mapumziko, bado hakuna aliyeona mlango wa mwenzie (bila bila)Updates wajombaaa
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Leo Yanga kama kawaidaaah
Nini tena jamani?Huyu mwambusi sijui anatumia nini kufikiri,sabu gani hii.