nina imani redmond hataniangusha leoPiga garagaza man city ushindi nauona japo mfinyu mkuu ...Ila na pale Southampton wakiamua wanaweza
Tutawapenda tuIla son wewe + Dembele man u watawachukia bureeee ...mnachokifanya conte anawaonaa
mara yangu ya kwanza kumuona dembele ilikuwa ni mechi kati ya man utd na fulham nakumbuka ilikuwa ndio msimu wake wa kwanza kuja uingereza, kiukweli alinivutia sana na nilitamani aje old trafford, ila sijui kwa sababu gani hakuna hata kocha mmoja wa timu kubwa aliyegundua kipaji chake.Ila son wewe + Dembele man u watawachukia bureeee ...mnachokifanya conte anawaonaa
mambo vipi kiongozi nilikua offline kwa muda.Naomba kujua kirefu cha neno BVB
Ahsante mkuumambo vipi kiongozi nilikua offline kwa muda.
BvB ni kifupi cha neno Ballspiel-Verein Borussia ikiwa na maana ya michezo ya mipira ya borussia.
jina la Borussia dortmund lilitokana na kiwanda cha kutengeneza bia kilichokua kinaitwa Borussia kaskazini mashariki mwa dortmund.
kikosi cha leo dhidi ya E.frankfurt
Ni kweli mkuu ila ngoja azidii kuwaonesha wakubwa na kuwapa somomara yangu ya kwanza kumuona dembele ilikuwa ni mechi kati ya man utd na fulham nakumbuka ilikuwa ndio msimu wake wa kwanza kuja uingereza, kiukweli alinivutia sana na nilitamani aje old trafford, ila sijui kwa sababu gani hakuna hata kocha mmoja wa timu kubwa aliyegundua kipaji chake.
huu ni mwaka 5 naamini dembele ni best box to box midfield
Pulisic huwa simwamini sana ila ngoja tuonemambo vipi kiongozi nilikua offline kwa muda.
BvB ni kifupi cha neno Ballspiel-Verein Borussia ikiwa na maana ya michezo ya mipira ya borussia.
jina la Borussia dortmund lilitokana na kiwanda cha kutengeneza bia kilichokua kinaitwa Borussia kaskazini mashariki mwa dortmund.
kikosi cha leo dhidi ya E.frankfurt
serious? pulisic ni bonge la mchezaji mkuu, ana pace, anajua kudrible in short kwangu ni moja ya wachezaji vijana watakaokuja kuwa tishio sana huko mbele,Pulisic huwa simwamini sana ila ngoja tuone
bonge la goli marco reus kafunga, credit ziende kwa PEA kuruhusu mpira upite isiwe off side.Ahsante mkuu
Naona Marco Reus anafanya yake akitokea majeruhi
Mkuu nimetumia reference ya mechi muhimu unachokisema ni kweli mkuu kwenye kupace and driblng anajitahid ila nashindwa kumwamini hasa timu inapohitaji kulazimisha matokeoserious? pulisic ni bonge la mchezaji mkuu, ana pace, anajua kudrible in short kwangu ni moja ya wachezaji vijana watakaokuja kuwa tishio sana huko mbele,
angalia alichokifanya kwenye hili goli la kwanza, utakubaliana na mimi
sijaangalia mpira wa dortmund kwa muda mrefu sana ila kwa hiki kikosi nimegundua udhaifu mkubwa wa timu hii unaanzia midfield, nakumbuka bender alikuwa ni kiungo ila nashangaa leo kawa mlinzi, bado timu haina mbadala wa gundogan, timu ya ushindani na bayern munich haiwezi kumtegemea sahin na kagawa kama ni first eleven. BvbSlash mwisho nakuomba nikuulize,kikosi cha leo dhidi ya E.frankfurt
Huyu na kantè unawaongeleajemara yangu ya kwanza kumuona dembele ilikuwa ni mechi kati ya man utd na fulham nakumbuka ilikuwa ndio msimu wake wa kwanza kuja uingereza, kiukweli alinivutia sana na nilitamani aje old trafford, ila sijui kwa sababu gani hakuna hata kocha mmoja wa timu kubwa aliyegundua kipaji chake.
huu ni mwaka 5 naamini dembele ni best box to box midfield
kuna utofauti mkubwa sana kiuchezaji kwa mtazamo wangu kwa mpira wa kisasa nitamchagua dembele kwa sababu anasogea na mpira anavyotaka na anafika hadi kwenye maeneo ya timu pinzani, nahisi mpira anaocheza kante hauna tofauti na soka analocheza victor wanyama kwa sababu wote ni photocopy ya claudio makeleleHuyu na kantè unawaongeleaje
sijaangalia mpira wa dortmund kwa muda mrefu sana ila kwa hiki kikosi nimegundua udhaifu mkubwa wa timu hii unaanzia midfield, nakumbuka bender alikuwa ni kiungo ila nashangaa leo kawa mlinzi, bado timu haina mbadala wa gundogan, timu ya ushindani na bayern munich haiwezi kumtegemea sahin na kagawa kama ni first eleven. BvbSlash mwisho nakuomba nikuulize,
yuko wapi subotic na weidenfeller
Marcos bonge la goli kachomoa...sijaangalia mpira wa dortmund kwa muda mrefu sana ila kwa hiki kikosi nimegundua udhaifu mkubwa wa timu hii unaanzia midfield, nakumbuka bender alikuwa ni kiungo ila nashangaa leo kawa mlinzi, bado timu haina mbadala wa gundogan, timu ya ushindani na bayern munich haiwezi kumtegemea sahin na kagawa kama ni first eleven. BvbSlash mwisho nakuomba nikuulize,
yuko wapi subotic na weidenfeller
Mkuu hapa tukiongea kwa facts pasipo ushabiki kila mmoja ana mazuri yake ,Dembele zile possesion zake akiwa kati zinamfanya aonekane muhimili wa timu hasa pale timu inapokutana na timu zenye middle wasumbufu kama Kantè .....ubora wa kantè ni ufundi wake wa kutembea uwanja mzima na timu ikamtegemea kwa mechi inayofuata najua apo ushaugundu udhaifu wa Dembele .....kuna mda timu inamuhitaki Dembele na spidi zake ila spidi mda mwingine inamkimbia yeye ....Huyu na kantè unawaongeleaje
ahsante kwa taarifa muhimu ila pia naomba nifahamu habari za king of dribble ousmane dembelepengo la Gundogun ni kweli bado halijazibwa mkuu ila tumesha mchukua mahmud dahoud toka gladbach awe partner wa weigl ni mchezaji mzuri na kinda amekua msaada sana kwa B.gladbach msimu huu.
ni mzima wa afya njema kabisa mkuu, ujio wa marco reus na form nzuri aliyonayo mmarekani christian pulisic na mjapan shinji kagawa kocha kaona ngoja akae kwanza ajifunze, hakua na mechi nzuri sana dhidi ya monaco na Bayern, it is reasonable kwanini yupo benchi + tuna mechi pia juma tano ya uefaahsante kwa taarifa muhimu ila pia naomba nifahamu habari za king of dribble ousmane dembele