Sports analysis 'box to box '

Sports analysis 'box to box '

Depotivo la coruna kampiga kiboko ya Barcelona

581a9393765d4faa875128519ad16ce4.jpg
 
Ila son wewe + Dembele man u watawachukia bureeee ...mnachokifanya conte anawaonaa
mara yangu ya kwanza kumuona dembele ilikuwa ni mechi kati ya man utd na fulham nakumbuka ilikuwa ndio msimu wake wa kwanza kuja uingereza, kiukweli alinivutia sana na nilitamani aje old trafford, ila sijui kwa sababu gani hakuna hata kocha mmoja wa timu kubwa aliyegundua kipaji chake.
Moussa+Dembele+Fulham+v+Tottenham+Hotspur+5Bx22f9YCrhl.jpg

huu ni mwaka 5 naamini dembele ni best box to box midfield
 
Naomba kujua kirefu cha neno BVB
mambo vipi kiongozi nilikua offline kwa muda.

BvB ni kifupi cha neno Ballspiel-Verein Borussia ikiwa na maana ya michezo ya mipira ya borussia.

jina la Borussia dortmund lilitokana na kiwanda cha kutengeneza bia kilichokua kinaitwa Borussia kaskazini mashariki mwa dortmund.

kikosi cha leo dhidi ya E.frankfurt
86e9f35c19515d676e13f0e243c6469b.jpg
 
Ahsante mkuu

Naona Marco Reus anafanya yake akitokea majeruhi
 
mara yangu ya kwanza kumuona dembele ilikuwa ni mechi kati ya man utd na fulham nakumbuka ilikuwa ndio msimu wake wa kwanza kuja uingereza, kiukweli alinivutia sana na nilitamani aje old trafford, ila sijui kwa sababu gani hakuna hata kocha mmoja wa timu kubwa aliyegundua kipaji chake.
Moussa+Dembele+Fulham+v+Tottenham+Hotspur+5Bx22f9YCrhl.jpg

huu ni mwaka 5 naamini dembele ni best box to box midfield
Ni kweli mkuu ila ngoja azidii kuwaonesha wakubwa na kuwapa somo
 
mambo vipi kiongozi nilikua offline kwa muda.

BvB ni kifupi cha neno Ballspiel-Verein Borussia ikiwa na maana ya michezo ya mipira ya borussia.

jina la Borussia dortmund lilitokana na kiwanda cha kutengeneza bia kilichokua kinaitwa Borussia kaskazini mashariki mwa dortmund.

kikosi cha leo dhidi ya E.frankfurt
86e9f35c19515d676e13f0e243c6469b.jpg
Pulisic huwa simwamini sana ila ngoja tuone
 
serious? pulisic ni bonge la mchezaji mkuu, ana pace, anajua kudrible in short kwangu ni moja ya wachezaji vijana watakaokuja kuwa tishio sana huko mbele,

angalia alichokifanya kwenye hili goli la kwanza, utakubaliana na mimi
Mkuu nimetumia reference ya mechi muhimu unachokisema ni kweli mkuu kwenye kupace and driblng anajitahid ila nashindwa kumwamini hasa timu inapohitaji kulazimisha matokeo
 
Wakuu tulioko live twende sawa kwenye mechi za epl ...Ila kama umesahau kumuua kanjibai mapema tusilaumianee...tusisahau mtaji wa magoli wa spurs ni mtaji tosha make hatujui ya mbeleniiii
 
kikosi cha leo dhidi ya E.frankfurt
sijaangalia mpira wa dortmund kwa muda mrefu sana ila kwa hiki kikosi nimegundua udhaifu mkubwa wa timu hii unaanzia midfield, nakumbuka bender alikuwa ni kiungo ila nashangaa leo kawa mlinzi, bado timu haina mbadala wa gundogan, timu ya ushindani na bayern munich haiwezi kumtegemea sahin na kagawa kama ni first eleven. BvbSlash mwisho nakuomba nikuulize,
yuko wapi subotic na weidenfeller
 
mara yangu ya kwanza kumuona dembele ilikuwa ni mechi kati ya man utd na fulham nakumbuka ilikuwa ndio msimu wake wa kwanza kuja uingereza, kiukweli alinivutia sana na nilitamani aje old trafford, ila sijui kwa sababu gani hakuna hata kocha mmoja wa timu kubwa aliyegundua kipaji chake.
Moussa+Dembele+Fulham+v+Tottenham+Hotspur+5Bx22f9YCrhl.jpg

huu ni mwaka 5 naamini dembele ni best box to box midfield
Huyu na kantè unawaongeleaje
 
Huyu na kantè unawaongeleaje
kuna utofauti mkubwa sana kiuchezaji kwa mtazamo wangu kwa mpira wa kisasa nitamchagua dembele kwa sababu anasogea na mpira anavyotaka na anafika hadi kwenye maeneo ya timu pinzani, nahisi mpira anaocheza kante hauna tofauti na soka analocheza victor wanyama kwa sababu wote ni photocopy ya claudio makelele
 
sijaangalia mpira wa dortmund kwa muda mrefu sana ila kwa hiki kikosi nimegundua udhaifu mkubwa wa timu hii unaanzia midfield, nakumbuka bender alikuwa ni kiungo ila nashangaa leo kawa mlinzi, bado timu haina mbadala wa gundogan, timu ya ushindani na bayern munich haiwezi kumtegemea sahin na kagawa kama ni first eleven. BvbSlash mwisho nakuomba nikuulize,
yuko wapi subotic na weidenfeller

pengo la Gundogun ni kweli bado halijazibwa mkuu ila tumesha mchukua mahmud dahoud toka gladbach awe partner wa weigl ni mchezaji mzuri na kinda amekua msaada sana kwa B.gladbach msimu huu.

subotic yupo fc koln majeruhi yalichangia sana kuharibu carier yake dortmund.

Roman weidenfeller saiz ndio kipa namba mbili, burki kachukua namba

EDIT: kuhusu bender kucheza beki imetokana na majeruhi ya durm na bartra pia TT hana imani na Ginter
 
sijaangalia mpira wa dortmund kwa muda mrefu sana ila kwa hiki kikosi nimegundua udhaifu mkubwa wa timu hii unaanzia midfield, nakumbuka bender alikuwa ni kiungo ila nashangaa leo kawa mlinzi, bado timu haina mbadala wa gundogan, timu ya ushindani na bayern munich haiwezi kumtegemea sahin na kagawa kama ni first eleven. BvbSlash mwisho nakuomba nikuulize,
yuko wapi subotic na weidenfeller
Marcos bonge la goli kachomoa...
 
Huyu na kantè unawaongeleaje
Mkuu hapa tukiongea kwa facts pasipo ushabiki kila mmoja ana mazuri yake ,Dembele zile possesion zake akiwa kati zinamfanya aonekane muhimili wa timu hasa pale timu inapokutana na timu zenye middle wasumbufu kama Kantè .....ubora wa kantè ni ufundi wake wa kutembea uwanja mzima na timu ikamtegemea kwa mechi inayofuata najua apo ushaugundu udhaifu wa Dembele .....kuna mda timu inamuhitaki Dembele na spidi zake ila spidi mda mwingine inamkimbia yeye ....
 
pengo la Gundogun ni kweli bado halijazibwa mkuu ila tumesha mchukua mahmud dahoud toka gladbach awe partner wa weigl ni mchezaji mzuri na kinda amekua msaada sana kwa B.gladbach msimu huu.
ahsante kwa taarifa muhimu ila pia naomba nifahamu habari za king of dribble ousmane dembele
1115550_imgw750.jpg
 
ni mzima wa afya njema kabisa mkuu, ujio wa marco reus na form nzuri aliyonayo mmarekani christian pulisic na mjapan shinji kagawa kocha kaona ngoja akae kwanza ajifunze, hakua na mechi nzuri sana dhidi ya monaco na Bayern, it is reasonable kwanini yupo benchi + tuna mechi pia juma tano ya uefa
 
Back
Top Bottom