Sports analysis 'box to box '

Sports analysis 'box to box '

Sunderland updates :Oooooooh kule naona mtunisia anatuonesha mambo tuliyoyamis ...whaaaaaaat a goal kona mpaka ndaniii
 
ahsante kwa taarifa muhimu ila pia naomba nifahamu habari za king of dribble ousmane dembele
1115550_imgw750.jpg
dogo ndio anaingia katoka marco reus, na ginter kachukua nafasi ya bender
 
can you believe this????

it was 10 vs 11 but Bayern failed to score
-36 points from 29 matches is Leverkusen’s worst return in 14 years. They had just 30 points on the board in 2002-03 and finished that season in 15th place.
- Bayern have gone scoreless in Leverkusen for 450 minutes now (all competitions) – their longest run of this kind in away games against a particular opponent.
- All of Bayern's outfield players except Rafinha had at least one shot.
 
e470068f0282296c26278c996aefa775.jpg
 
Wakuu "heri ya pasaka "

Yaliyotokea jana viwanja tofauti tumejionea wenyewe wakùu ...shukrani kwa update na ufafanuzi mjarabu hasa kwa master of bundersliga update ...

Kwa malkia mambo yalikuwa mazuri na mabaya hayakosii tukielekea kpindi cha lala salama nani ashuke nani uefa ashiriki ...mambo swadakta kabisa ...Tottenham Hotspur wapo bize tu na kazi zao..... Tuwaache na kazi zao maana naona wanataka kuwa wafanyakazi bora. Bado alama 4 kumfikia Chelsea alipo ila hii ni kabla Chelsea hajacheza leo dhide ya united....Dembele na wenzake sijajua mnawataka wawafanye nini mabosi wa ulaya

[emoji117]walichoanza nacho Southampton sicho walichomaliza nacho ..first half walijitahid sana wakashindwa kutambua kuwa making nzuri ndo ingetakiwa kumalizana nayo ila ngoja Pep G apunguziwe presha make top 4 pasua kichwa
[emoji117] The Fox na C.palace what a game kwangu nilimpenda hii game hasa mchezo wa palace wa kuvizia na nitumia mipira ya juu...Mimi nauliza tu bei ya Townsend mwakani haipandi kidogo au Zaha bado anamuhitaji mzee yule

[emoji117] tulipofikia kulaumiana lazima make hamna namna Benitez lazima apande na mwenzako uku akipishwa na wale watu [emoji4] [emoji4] ...Hivi kweli mzee wangu Moyes mzee furgie alikutakiaa mama ila wewe jipange mbona kuwatibua top 4 inawezekana ata kama wachache

[emoji125] [emoji125] Tukutane baadae muda muafaka make zile sifa za Diego kwa mzee Josee zikuzielewaa [emoji15]
 
-36 points from 29 matches is Leverkusen’s worst return in 14 years. They had just 30 points on the board in 2002-03 and finished that season in 15th place.
- Bayern have gone scoreless in Leverkusen for 450 minutes now (all competitions) – their longest run of this kind in away games against a particular opponent.
- All of Bayern's outfield players except Rafinha had at least one shot.
unajua kabla ya ligi kuanza Leverkusen ilikua ni moja ya timu inayopigiwa chapuo la kuwa miongoni mwa top three ya BL, form walio onesha msimu uliopita na usajili waliokua wameufanya.

walianza vizuri mwanzoni mwa msimu lakini injuries zikawapotezea mwelekeo, na hadi sasa ni wazi kabisa kwamba kwa mwakani hawatashiriki mashindano yoyote ya ulaya, mechi walizofungwa ni nyingi kuliko walizoshinda. chicharito aliekua mchezaji wao bora wa msimu uliopita alipoumia kwenye mechi ya kombe la ligi alikaa nje kwa wiki kadhaa na aliporudi hakua kwenye form yake ya msimu uliopita na hadi sasa bado ana struggle kupata magoli.

mbali na chicharito kuna wachezaji wengine key players kama kampl, toprak, Hilbert, kramer etc hawa watu majeruhi yao yamechangia sana leverkusen kuwa hapo walipo.

mechi ya jana dhidi ya bayern ilikua ni mechi ya nne mfululizo kwa bayern kushindwa kupata goli wakiwa bayarena, Bayern wamekua waki struggle sana ugenini kwa leverkusen na goli la mwisho kufungwa hapo na Bayern ilikua 2013 goli la kroos kabla hajaenda madrid.
 
Mkuu asante tunakupata haswa

Ila daaaaah hii timu Rb Leipzig ntapata wapi jezi yake ....naona wanionesha nia ya kukutana na wa kina barca ,Chelsea ,Madrid ,Juve n.k katika Siku zetu pendwa as jumanne na jumatano...2009 unaanzishwa wewe Rb ....2017 unashiriki uefa [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
2cffdcc4ecf2f9461dac669bce236774.jpg
 
Back
Top Bottom