Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
sports HQ imeleta mapinduzi kwenye tasnia ya habari za michezo mkuu..sports extra wanajaribu kucopy style ya HQ ila bado wanafeliHivi mleta mada unafahamu kuwa humu jf kuna members wengi tu tunaishi mikoani?Na unajua huku mikoani hiyo Efm na wasafi FM havisikiki?Ila nahati mbaya pia vitu vya kuiga huwa si vizr kwani nahisi hao wanaiga tu siamini kama watakuwa na jipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Relax chief.Aliyekwambia nilikuwa mtoto nan...unajua nilikuwa na miaka mingapi.... Na hata hivyo sijabadili mtazamo wangu juu ya hilo....kama ww unahusika na hivyo vipindi ndo hivyo hamna kitu.... Sonofabitch...
Usijali mkuu ni huyo tu jamaa kama vibayaRelax chief.
Mwambie apunguze kudakia mazungumzo ya wenzakeKazi yake ni Kudere
Mchambuzi uchwara yuleEti nae mchambuzi hii kitu inanishangaza kila uchwao.....
Na kile kipindi chao wakaze haswa maana studio kama hayupo edo na kitenge kinapwaya balaaaa hakina maajabu kabisaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli tanzania bado wababaishaji..kati ya redio tatu umesikiliza redio moja na bado umemalizia kwa kusema "redio za Tanzania hazina vipindi ni wababaishaji"..
sport extra inatamba kwa sababu inafikia watu wengi sana..ila madini ya michezo yako sports HQ na sports arena .binafsi naikubali sporta HQ kwa uchambuzi wao ..pale wamemkosa George Ambangile tu timu ikamilike ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuu
Avoid Fm ya wapi?
Wewe ulitaka isikilize Nini?Nawasikiliza Sports Arena muda huu, zaidi ya dakika 30 wanazungumzia birthday ya mtangazaji.
Wewe ulitaka isikilize Nini?
Michezo ipi hiyo unayozungumzia kwenye kipindi hiki Cha Corona?Ninataka kusikiliza issue za michezo.
Michezo ipi hiyo unayozungumzia kwenye kipindi hiki Cha Corona?
sijui wanakwama wapi...kipindi kinaboa sana yanNawasikiliza Sports Arena muda huu, zaidi ya dakika 30 wanazungumzia birthday ya mtangazaji.
Duh!hata kumwish birthday mwenzao inakuuma?Wewe jamaa wewe.Waache waenjoy,hakuna kipindi kinabamba kama hiki.Nawasikiliza Sports Arena muda huu, zaidi ya dakika 30 wanazungumzia birthday ya mtangazaji.