Sports Arena, Sports Headquarters na Sports Extra

Sports Arena, Sports Headquarters na Sports Extra

Hivi mleta mada unafahamu kuwa humu jf kuna members wengi tu tunaishi mikoani?Na unajua huku mikoani hiyo Efm na wasafi FM havisikiki?Ila nahati mbaya pia vitu vya kuiga huwa si vizr kwani nahisi hao wanaiga tu siamini kama watakuwa na jipya

Sent using Jamii Forums mobile app
sports HQ imeleta mapinduzi kwenye tasnia ya habari za michezo mkuu..sports extra wanajaribu kucopy style ya HQ ila bado wanafeli
 
kweli tanzania bado wababaishaji..kati ya redio tatu umesikiliza redio moja na bado umemalizia kwa kusema "redio za Tanzania hazina vipindi ni wababaishaji"..

sport extra inatamba kwa sababu inafikia watu wengi sana..ila madini ya michezo yako sports HQ na sports arena .binafsi naikubali sporta HQ kwa uchambuzi wao ..pale wamemkosa George Ambangile tu timu ikamilike ...


Sent using Jamii Forums mobile app

George Ambagile; Alipo nipo.
 
Back
Top Bottom