Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
sports HQ imeleta mapinduzi kwenye tasnia ya habari za michezo mkuu..sports extra wanajaribu kucopy style ya HQ ila bado wanafeliHivi mleta mada unafahamu kuwa humu jf kuna members wengi tu tunaishi mikoani?Na unajua huku mikoani hiyo Efm na wasafi FM havisikiki?Ila nahati mbaya pia vitu vya kuiga huwa si vizr kwani nahisi hao wanaiga tu siamini kama watakuwa na jipya
Sent using Jamii Forums mobile app