πππ maombi yako yameitikiwa eee?Aaaaaamen!
Nyanyukeni tu sasa. πππ
Wamefanya kama wa Kimataifa wenye kikosi kipana.
Hahahaaaa. Pole Mkuu. Kama nakuona ulivyosononeka.
Nimekumbuka haya maneno eti kila ajaye Taifa mnamfyeka imekuwaje tena sa?
Hahahaaaa. Taratiiiibu naanza kukuelewa Swahiba.Simba Kuna shida mahali
Wale wachezaji walikuja kwenye majaribio hakuna hata mmoja mwenye kiwango kiukweli.
Ni ngumu Sana mchezaji mzuri kutoka mataifa ya africa magharibu umkute Hana timu alafu eti aje Tanzania kufanya majaribio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni raha sana ukiwa Taifa halafu mikia wanapingwa
Congo
Hapa ndio huwa naufurahia utani wa jadi yaani siku mmoja akiwa mdogo anakuwa mdogo hasaaa. πππ
Kabisaaa. Nawish leo ingekuwa jumatatu. ππππTeh!wazee wa bandari wamejua kututulizia mji
Kama nawaona vile mikia wanavyopanda ndege kwenda kucheza na everton ya mkuranga,aisee tusingekunywa maji!Kabisaaa. Nawish leo ingekuwa jumatatu. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sijui shida iko wapi aisee maana mlianza moto halafu sasa mnaelekea kufifia.Yaani dah!
Nimechukia sana, naona kabisa tunaenda kuwa wa mwisho kwenye kundi huko kimataifa.
Hahaaa. Noma sana.Kama nawaona vile mikia wanavyopanda ndege kwenda kucheza na everton ya mkuranga,aisee tusingekunywa maji!
Eti wana uwezo wakuwafunga Barca na Bayern. Kwa Everton ingekuwa kumsukuma mlevi. Tambo zao si za Dunia hii!ππππ ndoto zao zimeyeyuka maana walishapiga mahesabu washacheza na Everton mpaka kumfunga wameshamfunga. ππ
Bangi anayovuta Manara mbaya sanaEti wana uwezo wakuwafunga Barca na Bayern. Kwa Everton ingekuwa kumsukuma mlevi. Tambo zao si za Dunia hii!
Mkuu mlipoambiwa ukweli kuwa ni underdog mapovu yaliwatoka sana Saiz mmeanza kuelewaYaani dah!
Nimechukia sana, naona kabisa tunaenda kuwa wa mwisho kwenye kundi huko kimataifa.
Mkuu mlipoambiwa ukweli kuwa ni underdog mapovu yaliwatoka sana Saiz mmeanza kuelewa
Sijui shida iko wapi aisee maana mlianza moto halafu sasa mnaelekea kufifia.
Bora ww unaelewa wenzio wanadhani nitusi,ila kwa game waliyocheza na al ahaly walikuwa bora sana,Kwa Simba hii mnaweza kutia aibu maana gorini mnapazia,back four yote imeozaMimi kwangu siyo ajabu sisi kuitwa underdog, kwa sababu naelewa hilo siyo tusi, ni assessment inayofanywa kulingana na position na ubora wa timu husika.
Ila nina uhakika wale Algerians watakuwa ndo underdog kwenye kundi.
J soura wamemtimua kocha wao,uchebe yeye anapiga posho Hadi ya msaidiziTuna issue kwenye benchi la ufundi.
Hahahaha, Mtani za week endUKWELI MCHUNGU HUU. [emoji2][emoji2][emoji2]