SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

Wamefanya kama wa Kimataifa wenye kikosi kipana.

Hahahaaaa. Pole Mkuu. Kama nakuona ulivyosononeka.

Nimekumbuka haya maneno eti kila ajaye Taifa mnamfyeka imekuwaje tena sa?

Yaani dah!

Nimechukia sana, naona kabisa tunaenda kuwa wa mwisho kwenye kundi huko kimataifa.
 
Simba Kuna shida mahali
Wale wachezaji walikuja kwenye majaribio hakuna hata mmoja mwenye kiwango kiukweli.
Ni ngumu Sana mchezaji mzuri kutoka mataifa ya africa magharibu umkute Hana timu alafu eti aje Tanzania kufanya majaribio.


Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa. Taratiiiibu naanza kukuelewa Swahiba.
 
Ni raha sana ukiwa Taifa halafu mikia wanapingwa
Taifa ya wapi ulikua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndio huwa naufurahia utani wa jadi yaani siku mmoja akiwa mdogo anakuwa mdogo hasaaa. 😃😃😃

Safi sana.
 
Mkuu mlipoambiwa ukweli kuwa ni underdog mapovu yaliwatoka sana Saiz mmeanza kuelewa

Mimi kwangu siyo ajabu sisi kuitwa underdog, kwa sababu naelewa hilo siyo tusi, ni assessment inayofanywa kulingana na position na ubora wa timu husika.

Ila nina uhakika wale Algerians watakuwa ndo underdog kwenye kundi.
 
Mimi kwangu siyo ajabu sisi kuitwa underdog, kwa sababu naelewa hilo siyo tusi, ni assessment inayofanywa kulingana na position na ubora wa timu husika.

Ila nina uhakika wale Algerians watakuwa ndo underdog kwenye kundi.
Bora ww unaelewa wenzio wanadhani nitusi,ila kwa game waliyocheza na al ahaly walikuwa bora sana,Kwa Simba hii mnaweza kutia aibu maana gorini mnapazia,back four yote imeoza
 
Back
Top Bottom