Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umehamia Bandari?FULL TIME BANDARI FC 2 SIMBA 1
ASANTE BANDARI FC CHAMA LA WANA
wapi mkuu? Congo?Simba haya mashindano sijui mara Sposi Pesa mara Mapinduzi inabidi iwe inaiachia Yanga ishiriki sio hadhi yake.
Simba inatakiwa ipeperushe bendera ya nchi kimataifa zaidi.
KITAMBO SANA HAHAHUmehania Bandari?
Mkuu hayo matamshi inaelekea una mapengo😀Simba haya mashindano sijui mara Sposi Pesa mara Mapinduzi inabidi iwe inaiachia Yanga ishiriki sio hadhi yake.
Simba inatakiwa ipeperushe bendera ya nchi kimataifa zaidi.
Mkuu umeandika kwa kumaanisha au kwa Sababu Simba imetolewa? Kwanini wasitumie michuano kama hii kama njia ya kujiimarisha na kurekebisha makosa yao? Ina maana kweli mkuu huyaoni mapungufu makubwa ya hichi kikosi?
Nasema nikimaanisha maana naonaga kama ni upumbavu kabisa unaoendelea hapa Tanzania katika medani ya soka.Mkuu umeandika kwa kumaanisha au kwa Sababu Simba imetolewa? Kwanini wasitumie michuano kama hii kama njia ya kujiimarisha na kurekebisha makosa yao? Ina maana kweli mkuu huyaoni mapungufu makubwa ya hichi kikosi?
Sio kudharau mkuu,uwezo wetu bado sana asee. Nilichotegemea ni kuona kuna 'Improvement' katika baadhi ya idara ili kusahihisha makosa yaliyofanyika Congo.Simba tumedharau game, mechi ilikua nyeupe kabisa hii
Aseee [emoji848]KITAMBO SANA HAHAH
Hehehehe!
Kila kitu tunachukulia rahisi tu hatueleweki tunataka nini.Hii ni aibu kubwa kwa klabu inayoshiriki klabu bingwa.