SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

Simba haya mashindano sijui mara Sposi Pesa mara Mapinduzi inabidi iwe inaiachia Yanga ishiriki sio hadhi yake.

Simba inatakiwa ipeperushe bendera ya nchi kimataifa zaidi.
Nilikuwa nakuwaza Mdogo wangu nilitaka nikutag hapa kumbe ulishaandika

Pole bana. Sio hadhi yake wakati mmeambulia kichapo jamaani. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mzee hebu rudi kasome nilichoandika kisha uje ujibu tena kwa kutumia akili na ujibu hoja sio utoke nje ya mada.


Hivi kwa akili yako kucheza mechi jumatano na jumamosi ni sawa na kucheza mechi jumatatu na kesho yake jumanne?
Chalii tungange ya Al Ahaly sasa. 😜😜😜
 
Back
Top Bottom