Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Yaani hizi ni zaidi ya njema Broo. Nimejikuta nawawazia wale mashabiki wa Mikia ile saa mpira umekwisha walivyokuwa kama wamechomelewa misumari. ππ kunyanyuka walishindwa aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hizi ni zaidi ya njema Broo. Nimejikuta nawawazia wale mashabiki wa Mikia ile saa mpira umekwisha walivyokuwa kama wamechomelewa misumari. ππ kunyanyuka walishindwa aisee.
ππππ ndoto zao zimeyeyuka maana walishapiga mahesabu washacheza na Everton mpaka kumfunga wameshamfunga. ππLeo hutawaona humu.
πππ nacheka sana kwa comment zako Mtani
Hahahaaaaa.Injinia ngapi huko,
Tuuupooo. πππππWazeee wa bandariiiii mpoooooo.....
Hahahaaa. Pole kwa kipigo banaaa.Haya majira ndiyo leo nayaona
πππππππ
Hivi upo Mtani?
Nilikuwa nakuwaza Mdogo wangu nilitaka nikutag hapa kumbe ulishaandikaSimba haya mashindano sijui mara Sposi Pesa mara Mapinduzi inabidi iwe inaiachia Yanga ishiriki sio hadhi yake.
Simba inatakiwa ipeperushe bendera ya nchi kimataifa zaidi.
Nakazia.
Hahahaaa. Kabisaaaaa.
HHAHAHAAAAAAAA. NA MIE NILITAKA KUSHANGAA KAKA.TANGU LINI SIMBA AKAMUDU KAZI ZA BANDARI? HAHAHAH WAUEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Hahahaaaa. LOL.Hivi simba tukikutana na kariobang kwenye kutafuta mshindi wa tatu, Yanga mtaishangilia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Makaburi yameanza. πππ
UKWELI MCHUNGU HUU. πππMapinduzi cup kikosi cha Pili kilipigwa
Kinshasa kikosi cha kwanza kilipigwa 5
Leo kikosi mixer ,kimepigwa tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaachajwe kwa mfano. πππTupeni matokeo,mikia hawajapigwa tu?
Chalii tungange ya Al Ahaly sasa. πππMzee hebu rudi kasome nilichoandika kisha uje ujibu tena kwa kutumia akili na ujibu hoja sio utoke nje ya mada.
Hivi kwa akili yako kucheza mechi jumatano na jumamosi ni sawa na kucheza mechi jumatatu na kesho yake jumanne?
Wamefanya kama wa Kimataifa wenye kikosi kipana.Simba bana, kwa hiyo ndo nini wamefanya?