MuganyiziMushiMwaipopo
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 359
- 691
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wanajifunza na ngumi ili wakikosa ligi kuu wachukue mkanda wa WBC.
na ngumi mnarushaMimi hapa yaani tumevutishwa bangi nyumbani aiseee imeniuma sana natamani kulia
WBA wakamny'ang'anye man paqiaoYanga wanajifunza na ngumi ili wakikosa ligi kuu wachukue mkanda wa WBC.
Hivi vilabu vyetu haya mashindano wanayachukulia poa tu!
Kweli mbmb hivi siku zote si mnasema yanga hawana hela, sasa wananunuaje mechiNdio hasara ya kuzoea mechi za kununua.
Na kutegemea kumtisha refa kwa kumpiga ngumi na vichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app