KERO SportyBet tunaomba maelezo kuhusu void ya mechi na makato ya pesa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Naomba kufichua suala linalowakumba baadhi ya wateja wa SportyBet. Kumekuwa na hali ambapo, kwa mfano, mechi za Real Madrid na Viking zinawekwa void baada ya wateja kushinda, huku fedha zikikatwa au kuondolewa bila maelezo ya wazi wala taarifa kwa wateja.

Kinachoshangaza ni kwamba fedha zinakatwa kwa kiasi kikubwa bila sababu inayoeleweka, huku wateja wakikosa maelezo ya wazi kuhusu msingi wa hatua hiyo.

Tunaomba SportyBet itoe maelezo rasmi na ya wazi kuhusu sababu za ku-void mechi hizo na msingi wa makato hayo. Wateja wanastahili uwazi na haki katika miamala yao.
 
Na

Mm hilo rungu limenipitia 200K imekatwa.
Mwanzo waliweka void ila asa hivi mkeka wesahisha ila wametoa 200K
 
Siko hapa kujadili mambo mkuu uliyoeleza hapo juu ila niwape angalizo watumiaji wote wa hii app...sportybet ni app hatari nashauri usidownload hiyo app kwenye simu yako ambayo ina sim banking application au app za mobile money...Simu yangu ilishanipa alert kwamba inaweza kuchukua info za finance mara kadha nikaifuta , sj app salama usalama wake
 
Back
Top Bottom