Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Iko hivi jana nilitengeneza mkeka wa mechi 20 ukaleta odds 53. Mechi 19 zimetiki kasoro mechi moja ya Villarreal na Elche ambayo niliweka option ya over 2.5 bookings. Yaan hiyo mechi iishe kwa kadi 3 au zaidi zitolewe.
Mechi imeisha kwa kadi 3 kutolewa, ikiwa 90 zilitoka kadi 2 na katika dakika za nyongeza mchezaji mwingine alipewa kadi. Hivyo mpaka mechi inaisha zikawa zimetoka kadi 3 officially.
Nimewasiliana nao wananiambia kadi za dakika ya nyongeza hazihesabiwi, mara mwingine akaja kusema hiyo ilitolewa baada ya game kumalizika kitu ambacho sio kweli.
Je kwa hapa na nyie kilushawahi kuwakuta? Mlisolve vipi hii? Nishauri Tushauriane, TUELEWE