Spot the difference between Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ and the rest of Africa 🌍 including Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ

Yani mtu mzima afike hapo aanze kuchora chora nyumba, una wazimu wewe
Hehehe sasa mbona mliambulia uvuvi wa dagaa tu kama mlikua makini na nayo makaratasi.
 

new updates from the official twitter handle of tanzania embassy offices in china

mtajua hamjui...wasee wa 30 kilometers.
 
[emoji16][emoji16]
 
Yaani nchi hii hadi kichefuchefu. Wanasheria wa serikali na wabunge wa ccm wanatupeleka kisiko. Kazi yao kubwa nikugonga meza tu.
 
Translators who translate to English. Hii St. Kayumba elimu bure.
To swahiliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
They use English translators.
Also our Prime minister gave his speech in Swahili while in China. It was translated into ChineseπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Endeleeni kutukuza kizungu. Mchina ana wachora
 
Dili kali kali za kujengewa balabala 30km mmeitia aibu east Africa na ndo maana mmetapeliwa kwenye sgr
 
To swahili[emoji23][emoji23][emoji23]

Also our Prime minister gave his speech in Swahili while in China. It was translated into Chinese[emoji23][emoji23][emoji23]
Endeleeni kutukuza kizungu. Mchina ana wachora
Hawa chori ila anawaona ni ma monkey! Yule dogo akirudi china watamwambia kwanini ume waambia ukweli nakumpa kazi nzuri zaidi.
 
Kama ulikua hujui ni kwanini Tanzania inafunguliwa kesi moja ya sababu ni kufuta mikataba ambayo iliingiwa kimakosa wakati waliotupa hiyo mikataba wakikataa kuja mezani kurekebisha. Dawa yao ni kuwafutia na kwenda kupambana nao mahakamani tukitumia baadhi ya vifungu vinavyosapoti kurudi mezani kuongea endapo maslahi ya upande Fulani hayatofikiwa au sababu nyinginezo za msingi. Magufuli is Genius nyie mnaliwa lakini hamuambiwi mnabaki kuchekacheka tu
 
Jamaa wa kusifia PPP, bagamoyo itakua vivyo hivyo... hii habari inafaa thread yake tuijadili vizuri. Only 30% ndo inaenda kwa watz, the rest inaenda nje... alafu kila siku wanajisifu kwa FDI kubwa kumbe ikifika wakati wa Mapato, 70% inarudi huko ilikotoka.
 
Mbona thread yako umeikimbia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…