Si unajua kumfanyia kazi JPM lazima uonekane bizi hata Kama hakuna la maana unaloandika ....
Thread gani hio? Enda ukanitafute huko uniulize hivyo... hapa kwa hii thread jibu hoja zilizopo si kutafuta distractionsMbona thread yako umeikimbia 😂😂😂
Duh!! Google itakua imepata kazi sana kupata hiyo picha. Ila ata hapo wenye notebooks ni watatu tu! Nina hisi delegation zenu wana bebaga mtu yoyote tu ili mradi kujuanaSi unajua kumfanyia kazi JPM lazima uonekane bizi hata Kama hakuna la maana unaloandika ....
Anyway, hii hapa ya wakenya wakiandika
View attachment 859182
Huo ni mkutano ulifanyika juzi tu , enda kwa Twitter au FB kwa page ya rais utaiona hapo tu. Wewe ndo umeteseka kwa kutafuta picha ya uhuru ya kitambo na hizo picha za Maria’s wote AfricaDuh!! Google itakua imepata kazi sana kupata hiyo picha. Ila ata hapo wenye notebooks ni watatu tu! Nina hisi delegation zenu wana bebaga mtu yoyote tu ili mradi kujuana
Basi msee pumzika.. unapata tabu sana kubeba mzigo usio bebekaHuo ni mkutano ulifanyika juzi tu , enda kwa Twitter au FB kwa page ya rais utaiona hapo tu. Wewe ndo umeteseka kwa kutafuta picha ya uhuru ya kitambo na hizo picha za Maria’s wote Africa
😂😂😂😂Thread gani hio? Enda ukanitafute huko uniulize hivyo... hapa kwa hii thread jibu hoja zilizopo si kutafuta distractions
Hiyo ni nchî inayo jitambua na kùpambana na mabepari ambao asili yao ni kupora mali za masikini na kujitajirisha. Kenya ilichagua ubepari na kulinda mabepari wadhulumu ardhi ya wakenya masikini, Uhuru hana uwezo hata kutaja mabepari wametudhulumu
Ndio sababu wanaitwa shamba la bibi.Jamaa wa kusifia PPP, bagamoyo itakua vivyo hivyo... hii habari inafaa thread yake tuijadili vizuri. Only 30% ndo inaenda kwa watz, the rest inaenda nje... alafu kila siku wanajisifu kwa FDI kubwa kumbe ikifika wakati wa Mapato, 70% inarudi huko ilikotoka.
Swahili is not synonymous with Tz you fool.Chinese singing swahili 😂😂😂😂
Mkongomani mbona hu-promote kiswahili cha Wabongo?To swahili😂😂😂
Also our Prime minister gave his speech in Swahili while in China. It was translated into Chinese😂😂😂
Endeleeni kutukuza kizungu. Mchina ana wachora
tazama kwanza hii video.Translators who translate to English. Hii St. Kayumba elimu bure.
Kiswahili ndo lugha ya Africa. Malema alisha sema😂😂😂 Tukuza mzungu we monkey.Mkongomani mbona hu-promote kiswahili cha Wabongo?
Kiswahili ni lugha ya taifa ya Tanzania. History mpelekee Unyee😂😂Nashangaa msukuma anasema kiswahili ni chao wakati kilifika Kismayu, Somalia kabla ya kanda la ziwa.
Uvuvi wa samaki ni deal kubwa sana, insane folks like you cant comprehend.Hehehe sasa mbona mliambulia uvuvi wa dagaa tu kama mlikua makini na nayo makaratasi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiswahili ndo lugha ya Africa. Malema alisha sema[emoji23][emoji23][emoji23] Tukuza mzungu we monkey.
Somali students learning swahili using Kenyan booksChinese singing swahili 😂😂😂😂