Spot the difference between Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ and the rest of Africa ๐ŸŒ including Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช

Spot the difference between Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ and the rest of Africa ๐ŸŒ including Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช

Si unajua kumfanyia kazi JPM lazima uonekane bizi hata Kama hakuna la maana unaloandika ....

Anyway, hii hapa ya wakenya wakiandika

CE0CF99C-0DFE-4A30-BC44-EED0A8FF517A.jpeg
 
Mbona thread yako umeikimbia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Thread gani hio? Enda ukanitafute huko uniulize hivyo... hapa kwa hii thread jibu hoja zilizopo si kutafuta distractions
 
Duh!! Google itakua imepata kazi sana kupata hiyo picha. Ila ata hapo wenye notebooks ni watatu tu! Nina hisi delegation zenu wana bebaga mtu yoyote tu ili mradi kujuana
Huo ni mkutano ulifanyika juzi tu , enda kwa Twitter au FB kwa page ya rais utaiona hapo tu. Wewe ndo umeteseka kwa kutafuta picha ya uhuru ya kitambo na hizo picha za Mariaโ€™s wote Africa
 
Huo ni mkutano ulifanyika juzi tu , enda kwa Twitter au FB kwa page ya rais utaiona hapo tu. Wewe ndo umeteseka kwa kutafuta picha ya uhuru ya kitambo na hizo picha za Mariaโ€™s wote Africa
Basi msee pumzika.. unapata tabu sana kubeba mzigo usio bebeka
 
Hiyo ni nchรฎ inayo jitambua na kรนpambana na mabepari ambao asili yao ni kupora mali za masikini na kujitajirisha. Kenya ilichagua ubepari na kulinda mabepari wadhulumu ardhi ya wakenya masikini, Uhuru hana uwezo hata kutaja mabepari wametudhulumu

KWELI NDO MAANA KWENYE HIYO PICHA HAPO JUU KUNA BENDERA YA MAREKANI NI AMBAO NDO ANAWAPIGA BAO LA MKONO MPAKA KIZAZI KIJACHO NA VINGINE. KENYANS ARE VERY STUPID FOR SURE!
 
Jamaa wa kusifia PPP, bagamoyo itakua vivyo hivyo... hii habari inafaa thread yake tuijadili vizuri. Only 30% ndo inaenda kwa watz, the rest inaenda nje... alafu kila siku wanajisifu kwa FDI kubwa kumbe ikifika wakati wa Mapato, 70% inarudi huko ilikotoka.
Ndio sababu wanaitwa shamba la bibi.
 
To swahili๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Also our Prime minister gave his speech in Swahili while in China. It was translated into Chinese๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Endeleeni kutukuza kizungu. Mchina ana wachora

Mkongomani mbona hu-promote kiswahili cha Wabongo?
 
Nashangaa msukuma anasema kiswahili ni chao wakati kilifika Kismayu, Somalia kabla ya kanda la ziwa.
 
Hehehe sasa mbona mliambulia uvuvi wa dagaa tu kama mlikua makini na nayo makaratasi.
Uvuvi wa samaki ni deal kubwa sana, insane folks like you cant comprehend.
 
Chinese singing swahili ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Somali students learning swahili using Kenyan books



American students singing Kenyaโ€™s beautiful national anthem in Swahili- all 3 stanzas





Google translator , Facebook, Android,windows 10... all the Swahili translation done by Kenyans!!!
 
Back
Top Bottom