Saba bata ni kiumbe gani?Kila la kheri mkuu, ila ukimchunguza saba bata....
Sasa kama umetumia email yake, na yeye si anaweza kusoma hiyo email yenye instructions na password ya kudukua simu yake, akajiuliza kulikoni? Kwa nini usitumie email address yako ?Sijui kwa ambao hawana access na email za wenzao, mie nimeefanya nusu na ikakubali, uzuri email yake naijua na Gmail account yake iko katika simu, so nilipoji"register" kule, walipotuma ile link ya kuconfirm ikaja nikaipa tiki, akaunti ikawa valid, kuna process chache mnoo nikafanya, ila ikazingua katika kuipakuwa ikabidi niipakue kwa simu yangu then nikairusha ile APK katika simu yake, nika install, kule nilikuwa naifungua ikawa inataka kudownload faili lenyewe, nikapigiwa simu ya haraka nikachomoka, sikumalizia, nikafuta ile icon yake sababu APK ipo katika simu baadae nitamalizia.
Nakuombea kila la heri ampende qaylah kama mwanae wa kumzaaHuyu sio mama Qaylah.
AminKila la kheri!
Amin!! Shunie akeeNakuombea kila la heri ampende qaylah kama mwanae wa kumzaa
Ujumbe katika email yake nimeufuta! Kutumia email yake ndio sahihi zaidi.Sasa kama umetumia email yake, na yeye si anaweza kusoma hiyo email yenye instructions na password ya kudukua simu yake, akajiuliza kulikoni? Kwa nini usitumie email address yako ?
Ningetafuta njia mbadala!!Ukipenda boga penda na ua lake isingekuwepo spya app usingeoaga?
Sasa anaweza kufungua email yake kabla ya wewe. It is a unnecessary risk you're taking. Unaweza kusahau ku empty junk folder.Ujumbe katika email yake nimeufuta! Kutumia email yake ndio sahihi zaidi.
Hawezi kuhangaika na huko!! Nimefanya hivyo nikijua na uwezo na utundu wake katika mambo haya.Sasa anaweza kufungua email yake kabla ya wewe. It is a unnecessary risk you're taking. Unaweza kusahau ku empty junk folder.
Maka email address uanayo weka ni ya KWAKO wewe usi tumie yakeHawezi kuhangaika na huko!! Nimefanya hivyo nikijua na uwezo na utundu wake katika mambo haya.
Ngoja nione hivi nilivyofanya italeta matokeo gani, ikigoma nitafanha hivyo chief!!Maka email address uanayo weka ni ya KWAKO wewe usi tumie yake
Ukiwa umesha i set ww una enda sasa kweny website ya mobile tracker log in credentials username uta tumia iyo email address yako ambayo uli register kweny ile spy app ya bibie kisha una log in na kuanza kupata izo details unazo zihitaj
Calls
Sms
Location
Messenger
Etc.....
Email hata ikiwa ya kwako ww its okay... siyo lazima iwe email ya mwenye simu...Mkuu japo sijafanya ila naamini anamaanidha hivi!!
Ile application inakuwa kwenye simu ya muathirika, email yake inakuwa ipo pale so inakusanya habari zote katika simu ile!!
We unapokuja kulog in huku taarifa zake zote unakuwa nazo wewe... kifupi hiyo app inakuwa inakusanya habari zooote inaweka kumbukizi, so email inakuwa inakupa uwezo wa kuingia katika ile account ikiyohifadhiwa hayo mambo
Sijui kama nimeelewa sahihi!!
Huo ndiyo uanaume. Naona wengi wanaogopa mapenzi sana. Kuwa na msimamo sababu mapenzi ni sehemu ya maisha na ukiruhusu mapenzi yakupelekeshe utaishia kulia kila siku. Humu watu wanasema usimdukue lakini wengi wanachepuka sana ndiyo maana hawataki kusikia hii kitu spy app sababu wanajua penzi lao litaota miiba. Mimi siwezi kuwa na mwanamke halafu anagongwa nje napiga chini siku hiyo hiyo kwasababu huyo siyo mke bali unafuga jini.Ngoja nione hivi nilivyofanya italeta matokeo gani, ikigoma nitafanha hivyo chief!!
Shukrani ndugu yangu.
Hii app haitakuwa inaonekana na mhusika aitilie shaka
Mtoto wa kiume hautakiwi kuogopa mapenzi. Hayo yakuogopa mapenzi waachie wanawake ila kwa mtoto wa kiume haifai. Ukitaka kuishi kwa raha, mapenzi yaweke kwenye akili maana utafurahia sana. Kama simu ya mpenzi wako unaogopa kushika, ukikuta mke wako anagongwa si utajiua kabisa. Wanawake wapo wengi sana wala haina haja ya kuwaza wanawake. Kutongozwa kwa mwanamke ni jambo la kawaida sana ila kugongwa nje siyo jambo la kawaida. Nyie ndiyo huwa mnalea watoto wa wanaume wenzako kisa hautaki kujua yaliyonyuma ya mke wako.Muache tu mkuu
Nahakika unchokitafuta utakipata
Je unaubavu wa kuhimili?
Hakuna malaika just live with it