Spy App

feedback?
mtoa mada na mpenzi wake wameamua kuyaweka sawa na sasa hakuna ugomvi tena ndio Maka amekaa kimyaaaaa.
 
Ndugu zangu najua mnahamu na mrejesho, hapa nilijitahidi nikaandika mrejesho ulikuwa mrefu kidogo, ambao ulikuwa unaelezea 1 kwanini nimdukue(sababu za kumdukua) 2, tulivyokutana na 3 matokeo baada ya kumdukua(nilichokiona), simu ikazimika chaji sasa naona ugivu kuanza arifu, kesho inshaallah ndugu zanguni siwaangushi.

Hali yake imetengemaa yuko vizuri sasa.
 
iv kuna namna yoyote ya kufanya kwa simu yake ili asigundue kuwa unamdukua??..

maana anaweza ku un-install hiyo app ili usiweze kumpata.
Kesho nitaelezea, hii app hawezi kuiona kabisa.
 
feedback?
mtoa mada na mpenzi wake wameamua kuyaweka sawa na sasa hakuna ugomvi tena ndio Maka amekaa kimyaaaaa.
Mkuu nilikuwa naandika! Ghafla simu ikazima chaji, mniwie radhi kesho inshaallah nitaleta feedback
 
Mrejesho Sasa
Bila Shaka Sasa Hivi Hiki Ni Kiwanda
Unatakiwa Ufungue Thread Yake Kwenye Mrejesho
 
Asant kwa maelekezo
 
mkuu simu bado haina chaji? kwani unaishi kibosho kule bush? Au mmepatana na 👰?
mrejesho please
 
Jaman hakuna spy app nyengine ukiachana na hii ya Mobile Tracker Free?
 
MREJESHO

Wazee wenzangu, najua mnahamu na mrejesho kutingwa tu hapa na pale, nitajitahidi kuandika kiufupi kadri niwezavyo


1. Kitu cha kwanza, ambacho kama ingetokea nafasi nadhani kila mtu angeuliza hili suala..
KWANINI NAMDUKUA!?
Nimeamua kumdukua mwenzangu kwa sababu nyingi ila kuu kabisa ni kutaka kujua rangi yake halisi, ni mwanamke wa aina gani, mie nataka kuoa kabisa sasa huyu ninaenda kumuoa ni mwanamke wa aina gani je anafaa, na hili ndio lilikuwa jaribio pekee la 100% kumpata vizuri, kumjua vyema na hiki ndio kitu pekee cha kunifanya niwe na uhakika na mwanamke ninaenda kuishi nae, mara nyingi mie sianzi kwa kupenda sijui wanaume wenzangu, mie huwa naanza kwa kutamani zaidi, mapenzi huja kutokana na mwenzangu anavyoact kwangu akiwa miyeyusho basi nami namfanya wa kuyeyushia nikiona kuna chembe za mahaba basi mahaba yanaongezeka kwa upande wangu. Niko hivyo hata kwa marafiki zangu, mie sikuumbwa mapenzi yaje kuniendesha, niliumbwa kuja kuenjoy mapenzi, so sikuona sababu ya kuogopa kumdukua.


2. Tulivyokutana.
Mie na bibie tumekutana mazingira ya hovyo, kifupi alikuwa ni cheche tu, mie na yeye tulikuwa tukifahamiana udogoni, alikuwa akija kwa bibi yake likizo, tukasoma madrasa 1 kipindi cha likizo yake, alipomaliza masomo akaja kwa bibi yake kuishi, kipindi chote hicho mie nilikuwa na 50 zangu, nadhani mambi ya shule, kuna kipindi nilikuwa naruka swahiba wake, kifupi wao walikuwa ni after money.. ikawa naruka mwenzie sijui kama ni rafiki yake(dada yake wa hiyari) mambo ya wanawake tena tukimaliza kuruka yeye anaenda kumsimulia mwenzie kuna mtu hiv na hivi!! Wakati yeye bibie alikuwa ananichukulia mie poa poa tu!! Kifupi kazi za kininja itakuwa siziwezi.. baada ya kukutana ndio alinieleza haya kuwa mie alikuwa ananizimikia toka kitambo, hata mwenzie alivyokuwa anamsimulia ilikuwa ikimuuma..

Mimi na huyu bibie tulianza mahusiano mwishoni mwa mwaka jana, japo tulianza kuwasiliana kabla ya hapo kwenye mitandao ya kijamii, na hata kukutana kwetu nilijua ni kuburudisha miili yetu, moaka pale bibie alipokiri kuwa ananizimikia, sikuona tabu sababu neno nakupenda toka kwa mwanamke huwa ni nadra saana!! So nikamuelewa ila nikmwambia nafahamu vyema wewe upo kipesa zaidi, nadhani hata dada yako d atakuwa kakufahamisha, mie nilikuwa si mlipaji saaana!! Nilikuwa nikimpa mara moja nikimmisi mimi akinimisi yeye mara chache saana kumlipa hiyo mosi, pili mimi ujana nimefanya saana starehe sasa nahitaji kutulia na tulizo pekee la nafsi ni ndoa, mimi uhuni wangu woote starehe yangu kubwa ni ngono na hiki ndio pekee kinanifanya nisifanye saana ibada!! Sababu nafsi inakuwa inanisuta natoka kumtafuna mtu then naingia msikitini, naingia kusali hali ya kuwa najua baadae nakutana na fulani kusuguana vikojoleo vyetu!
Mie ni mtoto wa kiislaamu najua uzito wa umauti, kila nikifikiria kesho yangu nafsi inaniuma, maisha ya kaburini ni mazito, na ni marefu mnoo, nikampa mfano babu wa babu yangu tufanye aliishi miaka 100 duniani toka kufa kwake mpaka leo yaweza ikawa ishapitiliza miaka 200 hiv na bado yupo kaburi ikafika hata miaka 1000, so maisha ya hapa duniani ni mafupi na ya mpito tuu, so mie nahitaji mwanamke halisi iwe tulizo la nafsi, siwezi kukunyima ww nafasi sababu mimi sio mjuzi zaidi ya mungu, sawa wewe ni sungura but kwakuwa unataka mie sikukatalii ila haya ndio maisha yangu halisi, unanipenda ujiandae kuishi bila ya kwenda club, bar, sijui kunywa pombe na vitu vingine vya mfano km huo, tukitoka basi ujue tumeenda beach, tumeenda kula ice cream na vitu vya mfano wa hivyo.
I don't care umefanya nini, sikuhukumu sababu hata mimi nahitaji kuhukumiwa ni Allah pekee mjuaji, we ni malaya ila yawezekana mie nikawa malaya zaidi ila uanaume wangu ndio unanilinda naonekana mgoni tu, mie nimefanya uchafu mwingi saana, so sijali ulifanya mangapi au ulifanya nini, kinachomata ni sasa ukiwa na mimi unafanya nini hili ndio jambo la msingi.
Kama ni ndoa ili mradi ndoa angenikuta nishafunga ndoa, maana wapo watu wanataka ndoa kwa hali na mali ila imeshindikana sababu hawawez kufanya nitakacho, mmoja yeye ni mkristu anataka ndoa ya bomani kitu ambacho kwa imani yangu napinga, najua hakuna ndoa zaidi ya kuhalalisha uzinifu. So akakubali.


3. What happened nilipomdukua..

Katika kumdukua nimekuta mawasiliano mawili yenye kutia shaka ama yasiopendeza..
i)nimekuta anawasiliana na mtu inaonekana huwa anamlia pesa jamaa halafu hataki kumpa papuchi nimemkuta jamaa analalamika, kuwa bibie ndivyo alivyo, na akafanya muamala kumtumia pesa bibie, bibie nae hakwenda siku hiyo.

ii)nimekuta amewasiliana na jamaa yake wazamani ambae kwenye simu inaonekana amemblock! Maana baada ya bibie kuacha mambo yote yale kuna watu walikuwa wanamsumbua bado akawa kawablock, sasa amewasiliana nae.

Katika utetezi wake mtu wa kwanza anasema huyo ni msumbufu aishamwambia kuwa yeye ana mtu na mtu mwenyewe ni mimi ambae jamaa ananifahamu, so akaamua kumlia pesa..

Utetezi wa pili anasema alimtafuta jamaa sababu dada yake alikuwa na shida na usafiri wa mawe, so ndio kilichofanya amtafute wapate msaada huo, sababu hata maongezi yanasikika hivyo.

Mimi kama mimi hakuna utetezi nilioupokea, sababu bado ana makosa, hapa kuna jamaa yangu anapiga kazi kampuni ya simu nimomba anifanyie mpango wa mawasiliano yake ili nichukue uamuzi kamili, japo naona na jamaa nae anaruka ruka hatoi ushirikiano wa kutosha(muoga wa kufanya hivyo)
 
Wazee wenzangu nimejitahidi kuandika kwa ufupi kwenye namna gani tutaulizana.
 
iv kuna namna yoyote ya kufanya kwa simu yake ili asigundue kuwa unamdukua??..

maana anaweza ku un-install hiyo app ili usiweze kumpata.
Mkuu hii app unaingia katika website yao, unajiregister unatia email yako na password, kisha utalog in kabla ya kuipakuwa unapewa maelezo ya kufanya unafunga Google play protect katika simu ya mlengwa kisha utaipakua app, ukishaiweka kwenye simu ya mlengwa, itadownload yenyewe file la siri wenye wameipa jina la wi-fi, kisha baada ya hapo ile application yenyewe unaifuta, kisha itabaki ile app ambayo haionekani, kisha we huku utakuwa unajitizamia tu..

Ukilog in unaona mawasiliano yake, kama hutumjj premium basi kila baada ya mawasiliano 19 basi ya nyuma yanajifuta.
 
Wazee wenzangu nimejitahidi kuandika kwa ufupi kwenye namna gani tutaulizana.
Hapo mbona sijaona kosa la kumuacha? Ingekuwa keshatoa mzigo nje hapo ungepiga chini. Oa huyo yupo vizuri japo bado anavitamaa ila kutokana na hilo jambo la kumdukua atakuwa mwema sana. Mpaka amepata pressure huyo anakupenda sana tena zaidi ya sana.
Angekuwa anakitembeza ungekuta list ya watu 10 na wote wamepita naye.
 
Shukrani mkuu, sijamuacha nimempa kadi za njano 2, nikiwa na maana nimemwambia apumzike kwanza, hapo namjambisha zaidi, awe makini zaidi.
 
Kuna kosa gani hapa la kumuacha??
Hajaachwa mkuu!! 1. Lazima uchunguzi yakonifu uwepo, 2. Lazima ajambishwe ashike adabu, ukimchekea msala, suala la kula pesa ya mwanaume mwingine haijengi picha zuri, alishindwa nini kusema kama fulani anamsumbua mbona wanaume wengine wanaomtongoza huqa anasema!? Pili kilichomfanya apige simu kuwasiliana na jamaa ni nini!?

Nataka anyooke, kama kawekewa pima maji.
 
Huyu hana kosa cha kufanya mpe onyo then ukae miezi 3-6 bila kuchungulia kwenye a/c ya MTF ili ajisahau baada ya muda huo unaweza kuchungulia kama bado anaendeleza mambo yake ya ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…