Sri Lanka: Waandamanaji wavamia makazi ya Rais kushinikiza aachie madaraka

Sri Lanka: Waandamanaji wavamia makazi ya Rais kushinikiza aachie madaraka

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Rais wa Sri Lanka kakimbia baada ya kutangaza nchi yake imefirisika

Maelfu ya Waandamaji katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo wamevamia Makazi rasmi ya Rais Gotabaya Rajapaksa. Maandamano hayo kushinikiza Kiongozi huyo aachie madaraka yanatajwa kuwa makubwa zaidi mwaka huu

Inaripotiwa kuwa Rais Rajapaksa alishaondolewa eneo hilo na kupelekwa mahali salama zaidi. Polisi walifyatua risasi kadhaa kujaribu kuwazuia waandamanaji, lakini jitihada zao ziligonga mwamba

=====

Thousands of protesters have stormed President Gotabaya Rajapaksa's residence in the capital of Sri Lanka.

Demonstrators from all over the country marched to Colombo demanding his resignation after months of protests over mismanagement of the country's economic crisis.

Reports say he has already been moved to a safer location.

The country is suffering rampant inflation and is struggling to import food, fuel and medicine
.
Thousands of anti-government protesters travelled in cars, vans and buses to the capital, with officials telling AFP news agency that some had even "commandeered" trains to get there.

They swarmed into Colombo's government district, shouting slogans against the president and breaking through several police barricades to reach President Rajapaska's house, a witness told Reuters.

Police fired shots in the air to try and prevent angry crowds from overrunning the residence, but were unable to stop some of the crowd from entering.

Authorities had attempted to stop the demonstration from taking place by imposing a curfew on Friday night. But protesters were undeterred, and the curfew was lifted after civil society groups and opposition parties strongly objected to it.

Sri Lanka has run out of foreign currency reserves and is struggling to import essential goods. Many blame the country's dire economic situation on President Rajapaksa, and demonstrations have been taking place since March demanding he quit.
 
Kuna ule waraka mrefu wa mikopo ya China na bara la Africa unasema mpaka 2050 mchina atakuwa yupo juu kwa mikopo isiyohimilika anayowalaghai na kuwakopesha bara la Africa ila waafrika wenyewe wamelala usingizi wa pono they're only thinking about sex and viagra.
 
Rais wa Sri Lanka kakimbia baada ya kutangaza nchi yake imefirisika

China imekuwa ikiikopesha pesa nyingi kwenye miradi mikubwa ambayo haikuzaa matunda

Wananchi watinga Ikulu
Kwa muda mrefu nchi ilikuwa haina mafuta hivyo magari yote nchini yamesimama.
 
Unataka kusemaje chief? Naona unazunguka sana...btw nasikia zimbabwe tayari wachina wana hold baadhi ya taasisi kama dhamana ya madeni.
Wachina pale Zimbabwe wamewajengea bunge moja kali sana,

images.jpeg

Wachina pale Kenya nako kuna chambo wameshatupa,
Huko Ghana nako ndo hivo

Soon Wachina watai tawala Afrika

Kiongozi pekee wa Afrika aliyejua kucheza nao Ni Magufuli
 
Rais wa Sri Lanka kakimbia baada ya kutangaza nchi yake imefirisika

China imekuwa ikiikopesha pesa nyingi kwenye miradi mikubwa ambayo haikuzaa matunda

Wananchi watinga Ikulu
Haya sasa , huyu huku anakomaa tu kukopa, na akipata chance ataendelea kukopa, anaongea haya bila hata kuona aibu, yaani hata aibu mtu hana?!!
 
Unataka kusemaje chief? Naona unazunguka sana...btw nasikia zimbabwe tayari wachina wana hold baadhi ya taasisi kama dhamana ya madeni.
Tusubiri na sisi kupigwa mnada tu, Zambia shirika la umeme linashikiliwa na waChina
 
Kuna ule waraka mrefu wa mikopo ya China na bara la Africa unasema mpaka 2050 mchina atakuwa yupo juu kwa mikopo isiyohimilika anayowalaghai na kuwakopesha bara la Africa ila waafrika wenyewe wamelala usingizi wa pono they're only thinking about sex and viagra.
Hivi kweli waafrica tunashindwa kopeshana wenye mwa wenyewe mpaka tukakope kwa wachina?
 
Back
Top Bottom