Mwanafunzi mtoro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 222
- 806
Huu uzi bila kutajwa na kunukuliwa Ndugai itakuwa ni ubatili. Msiogope kumnukuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusemaje chief? Naona unazunguka sana...btw nasikia zimbabwe tayari wachina wana hold baadhi ya taasisi kama dhamana ya madeni.
Nani hakukabi? Hizi tozo kwenye miamala na mafuta wewe unaona sio kukabwa huku?!Huyu anakopa WB na IMF hao huwa hawakukabi kama ukikopa China
Kaka unataka abaki ili afe !? [emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]sasa rais anakimbiaje ikulu tena??Rais wa hovyo sana huyo
Tatizo kubwa la Afrika ni kwamba asilimia kubwa ya mikopo inayochukuliwa haifanyi kazi iliyokusudiwa bali watawala wanagawana kwa dhamana ya nchi yao......kwa lugha ya kawaida huku afrika hatuna viongozi bali tuna mashetani yenye sura za kibinadamu kutunyonya damu.......Hivi kweli waafrica tunashindwa kopeshana wenye mwa wenyewe mpaka tukakope kwa wachina?
Hiki ndicho kilichomuua ghadafiHivi kweli waafrica tunashindwa kopeshana wenye mwa wenyewe mpaka tukakope kwa wachina?
Mkuu embu kula ugali wa dona na sato wa mchemsho wambie wakusogezee na ka pilipili kabisaaHuu uzi bila kutajwa na kunukuliwa Ndugai itakuwa ni ubatili. Msiogope kumnukuu
Maombi yanahitajika maana kuna siku tutaisikia kwetu[emoji22]Rais wa Sri Lanka kakimbia baada ya kutangaza nchi yake imefirisika
Maelfu ya Waandamaji katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo wamevamia Makazi rasmi ya Rais Gotabaya Rajapaksa. Maandamano hayo kushinikiza Kiongozi huyo aachie madaraka yanatajwa kuwa makubwa zaidi mwaka huu
Inaripotiwa kuwa Rais Rajapaksa alishaondolewa eneo hilo na kupelekwa mahali salama zaidi. Polisi walifyatua risasi kadhaa kujaribu kuwazuia waandamanaji, lakini jitihada zao ziligonga mwamba
=====
Thousands of protesters have stormed President Gotabaya Rajapaksa's residence in the capital of Sri Lanka.
Demonstrators from all over the country marched to Colombo demanding his resignation after months of protests over mismanagement of the country's economic crisis.
Reports say he has already been moved to a safer location.
The country is suffering rampant inflation and is struggling to import food, fuel and medicine
.
Thousands of anti-government protesters travelled in cars, vans and buses to the capital, with officials telling AFP news agency that some had even "commandeered" trains to get there.
They swarmed into Colombo's government district, shouting slogans against the president and breaking through several police barricades to reach President Rajapaska's house, a witness told Reuters.
Police fired shots in the air to try and prevent angry crowds from overrunning the residence, but were unable to stop some of the crowd from entering.
Authorities had attempted to stop the demonstration from taking place by imposing a curfew on Friday night. But protesters were undeterred, and the curfew was lifted after civil society groups and opposition parties strongly objected to it.
Sri Lanka has run out of foreign currency reserves and is struggling to import essential goods. Many blame the country's dire economic situation on President Rajapaksa, and demonstrations have been taking place since March demanding he quit.
Huu ndio ukweliTatizo kubwa la Afrika ni kwamba asilimia kubwa ya mikopo inayochukuliwa haifanyi kazi iliyokusudiwa bali watawala wanagawana kwa dhamana ya nchi yao......kwa lugha ya kawaida huku afrika hatuna viongozi bali tuna mashetani yenye sura za kibinadamu kutunyonya damu.......
Kimsingi hakuna nchi isiyokopa duniani lakini Wenzetu wanailekeza mikopo yao kwenye uzalishaji wakati huku kwetu watawala wanaiba na kuwanunulia vimada magari ya kifahari na kumiliki ukwasi wa dhurum..........
Nadhani watu weusi tuna laana inayotembea kwenye mishipa yetu ya damu na fahamu.......
Kinachofanya nchi ifike uko sio ukosefu wa rasilimali au udogo wa nchi bali kua na viongozi wabovu.Tanzania ni kubwa na ina kila aina ya rasilimali haiwezi kufikia huko..
Ikibidi tutakupiga mnada wewe Ili kufidia deni [emoji23][emoji23]
Inatakiwa kwanza Afrika ifanye maazimisho ya siku ya Ghadafi AfrikaHiki ndicho kilichomuua ghadafi
Inauma basi tuu
Ulilomba Mulungu kunu ulipela nkanada inauma sana ,ee Mungu epusha hili baraa lisitokee Tz