Sri Lanka: Waandamanaji wavamia makazi ya Rais kushinikiza aachie madaraka

Haya sasa , huyu huku anakomaa tu kukopa, na akipata chance ataendelea kukopa, anaongea haya bila hata kuona aibu, yaani hata aibu mtu hana?!!
Huyu anakopa WB na IMF hao huwa hawakukabi kama ukikopa China
 
Ingekuwa kila niliyemkopa naandikiana nae kuwa ataacha kitu kama dhamana leo ningekuwa naliliwa na familia nyingi

Subirini tu mda sio mrefu Vilio kila kona ya dunia kwa Mchina na hana mchezo kajipanga huyo
 
Unataka kusemaje chief? Naona unazunguka sana...btw nasikia zimbabwe tayari wachina wana hold baadhi ya taasisi kama dhamana ya madeni.

Naona kwenye news eti wanaanza kutumia gold coins kwa transaction zao
Nimeongezea tu hii
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]


Hii mpya
 
Hivi kweli waafrica tunashindwa kopeshana wenye mwa wenyewe mpaka tukakope kwa wachina?
Tatizo kubwa la Afrika ni kwamba asilimia kubwa ya mikopo inayochukuliwa haifanyi kazi iliyokusudiwa bali watawala wanagawana kwa dhamana ya nchi yao......kwa lugha ya kawaida huku afrika hatuna viongozi bali tuna mashetani yenye sura za kibinadamu kutunyonya damu.......

Kimsingi hakuna nchi isiyokopa duniani lakini Wenzetu wanailekeza mikopo yao kwenye uzalishaji wakati huku kwetu watawala wanaiba na kuwanunulia vimada magari ya kifahari na kumiliki ukwasi wa dhurum..........

Nadhani watu weusi tuna laana inayotembea kwenye mishipa yetu ya damu na fahamu.......
 
Ndio shida ya kuasini mikataba mahotelini huko ulaya kama anachokifanya yule anayeupiga mwingi.
Soon hii nchi itapigwa manada naona wameshaanza kugawa vipande kule loliondo na ngorongoro.

Ogopa sana wachina,wahindi na waarabu..hawajawahi kuwa na undugu na mwafrika...wanatuchekea usini ila moyoni wanatamani watuuue kabisa.

Sio wakucheka nao kabisa..wakija kuwekeza ndio wakwepa kodi wakubwa nchi hii..wanatoa rushwa balaa ili wasilipe kodi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Maombi yanahitajika maana kuna siku tutaisikia kwetu[emoji22]
 
Huu ndio ukweli

Tunamashetani yaliyovaa ngozi za watu

Kama Munu alimtuma Yesu christo na Mtume MSW kuja kuukomboa ulimwengu kutoka mikononi mwa shetani

Basi shetani alituma mwafirika kuja kumkomboa mwafrika kutoka mikononi mwa Mungu

Inatia hasira saana haya ma viongozi ya Afrika asee

Nilikuwa nafuatilia kampeni zinazoendelea +254 nilijifunza ma baba wa mataifa hawakuwa na kazi kuupata uhuru kutoka kwa weupe
Ila kazi ipo kuzikomboa nchi za Afrika kutoka mikononi mwa hii mitume ya shetani
 
da inauma sana ,ee Mungu epusha hili baraa lisitokee Tz
 
Hiki ndicho kilichomuua ghadafi
Inatakiwa kwanza Afrika ifanye maazimisho ya siku ya Ghadafi Afrika

Halafu pale alipoishia tuendelee hapo

Kwanza tufute huu ujinga unaitwa demokrasia
Tuondoe ujinga unaitwa sijui misaada

Halafu tuondoe neno bara la africa ili tuzifute nchi zoote ziwe majimbo halafu iwe jumuia ya afrika

Haki za binadam zibaki zile haki kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…