KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Ndugu yangu hii nchi baadhi ya watu ni kama walienda shule kuchezaKufirisika - Kufilisika
imefirisika - imefilisika
Jifunze R na L kijana
tutaenda kuishi hata burudiUlilomba Mulungu kunu ulipela nkana
Sawa wiluka
Ntabila nzilene, mposela kabhalo
Omba huku unakimbia
Samahani naomba nikutukane tuu make nisipo fanya hivyo nitaumia moyo.Tanzania hakuna hilo ni fikia za wapumbavu fulani waliokuwa wabinafsi #Sadist
kuna nyakati unacheka huku chozi likitokatutaenda kuishi hata burudi
Hapo ndipo mambo yalopoharibikia sasaNdugu yangu hii nchi baadhi ya watu ni kama walienda shule kucheza
Ukisoma uandishi wao u just wonder mtu anashindwaje kutofautisha vitu basic kama hivyo
Ni kama Bandari ya Bagamoyo anavyolazimishaKuna ule waraka mrefu wa mikopo ya China na bara la Africa unasema mpaka 2050 mchina atakuwa yupo juu kwa mikopo isiyohimilika anayowalaghai na kuwakopesha bara la Africa ila waafrika wenyewe wamelala usingizi wa pono they're only thinking about sex and viagra.
Miradi mingi kuliko uwezo wetu, zoezi la kuhamia Dodoma limekula hela nyingi.Haya sasa , huyu huku anakomaa tu kukopa, na akipata chance ataendelea kukopa, anaongea haya bila hata kuona aibu, yaani hata aibu mtu hana?!!
Tanzania hakuna hilo ni fikia za wapumbavu fulaniDu! sasa itakuwaje,na huku kwetu tuwe waangalifu ipo siku nchi itapigwa mnada
Logic pointsMiradi mingi kuliko uwezo wetu, zoezi la kuhamia Dodoma limekula hela nyingi.
Daraja la usukumani pia
Simmekopa wenyewe MKUU au mlilazimishwa kukopa!!?Kuna ule waraka mrefu wa mikopo ya China na bara la Africa unasema mpaka 2050 mchina atakuwa yupo juu kwa mikopo isiyohimilika anayowalaghai na kuwakopesha bara la Africa ila waafrika wenyewe wamelala usingizi wa pono they're only thinking about sex and viagra.
Wazungu ndio wanawapenda pole sana kijanaNdio shida ya kuasini mikataba mahotelini huko ulaya kama anachokifanya yule anayeupiga mwingi.
Soon hii nchi itapigwa manada naona wameshaanza kugawa vipande kule loliondo na ngorongoro.
Ogopa sana wachina,wahindi na waarabu..hawajawahi kuwa na undugu na mwafrika...wanatuchekea usini ila moyoni wanatamani watuuue kabisa.
Sio wakucheka nao kabisa..wakija kuwekeza ndio wakwepa kodi wakubwa nchi hii..wanatoa rushwa balaa ili wasilipe kodi.
#MaendeleoHayanaChama
Swali la kujiuliza ni kwamba, kwa nini hao wachina na wahindi wakija kuwekeza huku Africa ndio wanakwepa kodi ila wakienda kuwekeza kwenye nchi zilizoendelea wanalipa kodi vizuri tu?Ndio shida ya kuasini mikataba mahotelini huko ulaya kama anachokifanya yule anayeupiga mwingi.
Soon hii nchi itapigwa manada naona wameshaanza kugawa vipande kule loliondo na ngorongoro.
Ogopa sana wachina,wahindi na waarabu..hawajawahi kuwa na undugu na mwafrika...wanatuchekea usini ila moyoni wanatamani watuuue kabisa.
Sio wakucheka nao kabisa..wakija kuwekeza ndio wakwepa kodi wakubwa nchi hii..wanatoa rushwa balaa ili wasilipe kodi.
#MaendeleoHayanaChama
Na Jiwe ndio angetufikisha hivyoKinachofanya nchi ifike uko sio ukosefu wa rasilimali au udogo wa nchi bali kua na viongozi wabovu.
Bola mchina ,mm namkubali mchina ,kwani hana upuuzi wa kuwafitinisha watu wapigane Vita yy anatumia akili tu za kiuchumi ,Sasa kosa lake liko wapi.ukiwa mvivu mchina anatumia uvivu wako na kukutaka ukope Tena hakulazimishi Ila kwa hiari yako mwenyewe unakopa ,halafu yy anapata Cha juu na faida juu.heri mchina kuliko marekani ,wanaotaka kwanza wakulazmishe uwe shoga na uutambue ushoga ndio wakupe mkopo,si ushenzi huu!!!Ndio shida ya kuasini mikataba mahotelini huko ulaya kama anachokifanya yule anayeupiga mwingi.
Soon hii nchi itapigwa manada naona wameshaanza kugawa vipande kule loliondo na ngorongoro.
Ogopa sana wachina,wahindi na waarabu..hawajawahi kuwa na undugu na mwafrika...wanatuchekea usini ila moyoni wanatamani watuuue kabisa.
Sio wakucheka nao kabisa..wakija kuwekeza ndio wakwepa kodi wakubwa nchi hii..wanatoa rushwa balaa ili wasilipe kodi.
#MaendeleoHayanaChama
Haya sasa , huyu huku anakomaa tu kukopa, na akipata chance ataendelea kukopa, anaongea haya bila hata kuona aibu, yaani hata aibu mtu hana?!