Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Sasa hii nayo imetokea usiku wa kuamkia Februari 10, 2025 huko Sri Lanka ambapo wakazi zaidi ya milioni 22 waishio nchini humo wamelala gizani, na yote sababu ya Tumbili mmoja tu. Unaambiwa Tumbili huyo aliyeruka na kuingia kwenye mfumo wa gridi ya umeme alisababisha umeme kukatika karibu eneo lote la nchi hiyo.
Waziri wa Nishati, Kumara Jayakody tayari ameshatolea ufafanuzi juu ya tatizo hilo la umeme huku akitaja sababu kubwa kuwa ni Tumbili.
Je, Mtaani kwenu, tumbili alishawahi kufanya kisanga gani hadi wote mkamchukia?”