Sri Lanka yaipuuza Marekani madai ya rushwa ya Adani, yasaini mkataba na Adani Group wa $553M kuendesha bandari ya Colombo

Wangejua hao Syrilanka wapo hoi. Walishindwa hata kwenye uchumi wa blue kule zenji.
Kwa kifupi ime corrups
Rushwa kama ya kaka yao kafulia, hii najua ipo stagged wamekuja kivingine kujustify malipo ya uchawa
 
Mkataba wa Marekani ni tofauti na ue wa Tanzania, vivyo hivyo wa Sri Lanka.
Kutoa usmuzi lazima uchambue kila mmoja uone uwezekano wa rushwa kutumika kupindisha akili ya kawaida.
 
Tanzania must move on
 
Kwa hiyo watasambaziwa umeme na Marekani ama
Sio waafrika tuna nini yaani usa akisema lazima tufanye hawajui kuwa wao ndio wanaofyatua dollars?
Na sisi tutaendelea kudaiwa tu na wanaotudai
Adani kama watakuwepo wa kusoma mikataba yote hata iwe na page 2000 basi wasaini tu
La sivyo mtaletewa na usa walio na maslahi nao
 
Hawa marekani sijui wanashida gani, Hata tiktok ya China wanaiwekea vikwazo sana..
 
Sahihi tunahitaji kujisimamia zaidi kuliko kuwa bendera fuata upepo
 
Sahihi tunahitaji kujisimamia zaidi kuliko kuwa bendera fuata upepo
Hawa wazungu wana lao jambo aidha kuna conflict of interest baina yao
Sasa sisi inatuhusu nini
Kwanini tujifanye bado watoto.wakati tuna Uhuru wetu wa miaka zaidi ya 60?
Kweli watuache
 
Wabongo ni bebdera fuata Upepo sana wanamwamini sana Marekani kuliko hata Viongozi wao
Kuna viongoz wenye nafuu? Record zinaonyesha wengine wana sign bila kujua content za mikataba. Likibumburuka wanaanza kukana

Ni si kwamba marekani ni special No, but when comes to mikataba ni 1000x better kwa umakini than tz
 
Kuna viongoz wenye nafuu? Record zinaonyesha wengine wana sign bila kujua content za mikataba. Likibumburuka wanaanza kukana

Ni si kwamba marekani ni special No, but when comes to mikataba ni 1000x better kwa umakini than tz
Nakubaliana na wewe kwenye hili
 
Tanzània hatuwezi kuwa kisiwa
 
Wapi marekani kalazimisha tanzania ivunje mkataba na Adani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…