CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Very true aiseeHuyu Adani anapigwa vita tu na Marekani ila jamaa anapambana msije mkasema na Mimi nimepewe chochote ku-comment hapa😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very true aiseeHuyu Adani anapigwa vita tu na Marekani ila jamaa anapambana msije mkasema na Mimi nimepewe chochote ku-comment hapa😄😄
Mwigulu Nchemba na Samia? HahahaHao viongozi wenu wana aminika?
Hawa ni wapigaji sana tu Sri Lankan===
Wakati kashfa dhidi yake zikiendelea Billionaire Gautam Adan amesema atatumia pesa yake ya mapato ya ndani kuijenga bandari ya Colombo Sri Lanka ikiwa ni baada ya kuachana na maombi ya Mkopo wa $553M alizoomba toka US International Development Finance Corporation (DFC) ya Marekani.
Wakati haya yakiendelea Rais Williams Ruto wa Kenya kwa shinikizo la Marekani yeye alishafutilia mbali mkataba wake wa kusambaza Umeme na Adani Group huku akisalia na Mkataba wa bima ya Afya wa STH unaotekelezwa na Adani Group.
Mamlaka za Sri Lanka zimepuuza madai ya rushwa dhidi ya Adani Gautam toka kwa Marekani na imeendelea na Utekelezaji wa Mradi wa Bandari wa zaidi ya $553 milioni wa
Colombo West International Terminal (CWIT) ambayo ni sehemu ya Bandari ya kina kirefu Cha Bandari ya Colombo nchini Sri Lanka,
Mamlaka za Tanzà nia ziligoma pia kuvunja mkataba wa Kuendesha Gate Namba 2 kwa kuzingatia ubora wa huduma zinazotolewa na Kampuni ya Adani Groups pamoja na sheria na miongozo ya Tanzania hata hivyo hazijasema kama zitaendelea au laa na mchakato wa kusaini mkataba wa kusamabaza Umeme wa zaidi ya TZS 3.3 utakaokuwa chini ya PPPC.
Pia soma https://www.business-standard.com/a...nding-for-colombo-project-124121001397_1.html
View attachment 3174553
Msimamo mzuri sana huu,===

Sawa===