Sri Lanka yaipuuza Marekani madai ya rushwa ya Adani, yasaini mkataba na Adani Group wa $553M kuendesha bandari ya Colombo

Hatuna Cha kujifunza Bali Sri Lanka ndio wamejifunza kwetu.

Tulishatoa taarifa mapema kabisa kwamba tunaendelea na uwekezaji wa Adani Dar Port.

Tanzania sio wapumbavu Wala vibaraka wa USA kama Wakenya.
 
adani sio fisadi ni mikwara tu ya wamarekani
 

Wala rushwa tu ndiyo watamkubali huyu jamaa aka 10%
 
Nawapongeza sana
 
Kitendo Cha Sri Lanka kuibishia Marekani kunaonesha wanajitambua
Lakini pia yawezekana wakubwa wamepewa chao, usipuuze kila kitu. Hivi DP World imeshaanza kuleta mgao?
 
Nasikia yule Mwanasheria wao kasepa
 
Merry Christmas
 
Sasa Sri Lanka inatusaidiaje sisi?
 
Tanzània tunalakujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…