TANZIA SSGT Reginald Ruta wa JWTZ amejiua kwenye Kaburi la marehemu Mkewe

Acheni kabisa, jamaa have been through a lot, Wanaume tuna mambo mengi sana vichwani mwetu, kwa bahati mbaya tunakosa watu wa kuwaambia, au aibu na ndiyo maana unakuta mtu anakufa kwa vitu tunavyoviona vidogo mfano jipu kwenye sehemu kama kalio au kende simply kuonyesha ushababi mwisho wa siku ndo hayo ya afande SSGT
 
Yaani amekutwa tuu amekufa juu ya kaburi kwa kuugua ghafla?

Njia pekee ninayoiona ni yeye kunywa sumu na kulala/kwenda hapo kusubiri kifo, japo kutetea hoja hii inahitaji nguvu...
Halafu wamelizika na kuamua kumzika fasta tuuh??

Anyway R.I.P.
Kwa nini hiyo sumu kanywa mwenyewe, kwani hawepi kupewa sumu halafu akaja kubwagwa hapo ?

Lakini bora wewe angalau umefikiria kidogo nje ya boxi, wengine wote wamemeza alichosema Mshana Junior kama kilivyo.
 
kwa nini wamezika mapema hivyo?? wameconclude vipi huyu afande kajiua kweli au kauawa?? vyote hivyo vinawezekana ila inatakiwa kufahamu amejiuaje?? sumu au ?? jee na mke wake aliuawa au ni ugonjwa wa ghafla?? Kuna mengi sana nyuma ya pazia kabla kuconclude kirahisi rahisi tu hivi wandugu.
 
mkuu kwahiyo jamaa kajiua na bado kanisa lake RC wamemfanyia misa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…