Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Pia utawala wake umeleta mchango mkubwa kwenye utekaji na mauaji ya wakosoaji wake. Hili halitakiwi kuachwa kusemwa. Mchango wake kwenye hili la utekaji na mauaji ya wanaomkosoa ni wa kipekee, na hautasahaulika vizazi na vizazi.Wana Jf,
Salaàm!
Nawaambia kuwa CCM tuko tayari kufanya kusikiliza wenzetu wanataka nn lkn siyo suala la Samia Must Go.
Rais wetu yupo kikatiba - hatutaacha atoke kabla ya muda wake kuisha - yeyote mwenye fikra hizo aache mara moja.
* Mchango wa SSH ktk elimu, afya, madini, siasa, Kilimo, biashara nk nk ni mkubwa na lzm tumpe muda zaidi wa kutuletea maendeleo.