Pia utawala wake umeleta mchango mkubwa kwenye utekaji na mauaji ya wakosoaji wake. Hili halitakiwi kuachwa kusemwa. Mchango wake kwenye hili la utekaji na mauaji ya wanaomkosoa ni wa kipekee, na hautasahaulika vizazi na vizazi.Wana Jf,
Salaàm!
Nawaambia kuwa CCM tuko tayari kufanya kusikiliza wenzetu wanataka nn lkn siyo suala la Samia Must Go.
Rais wetu yupo kikatiba - hatutaacha atoke kabla ya muda wake kuisha - yeyote mwenye fikra hizo aache mara moja.
* Mchango wa SSH ktk elimu, afya, madini, siasa, Kilimo, biashara nk nk ni mkubwa na lzm tumpe muda zaidi wa kutuletea maendeleo.
Huyu namfahamu kabisa. Ni muha mmoja wa kasulu. Hana mbele wala nyuma.ni chawa. Anatafuta umaarufu ili awe kama waha wenzake mwijaku na baba levo.Una nafasi gani hapo ccm?
Wewe ni mtu mzee kabisa,fanya kazi. Achana na uchawa
View attachment 3096324
Picha yenyewe kapigia gesti.Wewe ni mtu mzee kabisa,fanya kazi. Achana na uchawa
View attachment 3096324
Daah, Kaka umesahau kuweka no za sim!Wana Jf,
Salaàm!
Nawaambia kuwa CCM tuko tayari kufanya kusikiliza wenzetu wanataka nn lkn siyo suala la Samia Must Go.
Rais wetu yupo kikatiba - hatutaacha atoke kabla ya muda wake kuisha - yeyote mwenye fikra hizo aache mara moja.
* Mchango wa SSH ktk elimu, afya, madini, siasa, Kilimo, biashara nk nk ni mkubwa na lzm tumpe muda zaidi wa kutuletea maendeleo.
Halafu jamii forums limekuwa jukwaa la hovyo sana,mods ndo wanapenda hizi mada za hovyo hovyo, Tanzania ina kipindi kigumu mno kuliko wakati wowote kwa sababu ni kama haina Rais tu,watu wanapotea kila siku halafu juha limeibuka linaita mavi ni keki.Wana Jf,
Salaàm!
Nawaambia kuwa CCM tuko tayari kufanya kusikiliza wenzetu wanataka nn lkn siyo suala la Samia Must Go.
Rais wetu yupo kikatiba - hatutaacha atoke kabla ya muda wake kuisha - yeyote mwenye fikra hizo aache mara moja.
* Mchango wa SSH ktk elimu, afya, madini, siasa, Kilimo, biashara nk nk ni mkubwa na lzm tumpe muda zaidi wa kutuletea maendeleo.
Nitaweka kwenye andiko lingineDaah, Kaka umesahau kuweka no za sim!
Khaaaaa!Huyu namfahamu kabisa. Ni muha mmoja wa kasulu. Hana mbele wala nyuma.ni chawa. Anatafuta umaarufu ili awe kama waha wenzake mwijaku na baba levo.
Jitahidi make hizi ni zama za Uchawa! Bila Uchawa Mambo hayaendi, kaza Buti!andiko
Bado tu unapenda kuajiriwa? Nawaza tofauti sana si kwangu tu hata kwa wanangu MkuuKwani ...Must go ,ni kupinduliwa...She must go through ballots paper!nje ya mada...hivi mzee wa kujificha kwenye kichaka chakaranga hawajakuona tu😳😳 hata U'DED
GoodNikajua ni Lucas Mwashambwa kaandika, kumbe mko.wengi?
Mkuu jifunze kujenga hoja hususan kipindi hiki kigumu sana ili jamii ipate haki zote muhimu.Wana Jf,
Salaàm!
Nawaambia kuwa CCM tuko tayari kufanya kusikiliza wenzetu wanataka nn lkn siyo suala la Samia Must Go.
Rais wetu yupo kikatiba - hatutaacha atoke kabla ya muda wake kuisha - yeyote mwenye fikra hizo aache mara moja.
* Mchango wa SSH ktk elimu, afya, madini, siasa, Kilimo, biashara nk nk ni mkubwa na lzm tumpe muda zaidi wa kutuletea maendeleo.
Huu ushabiki ,unaufanya endelea kusuiriwa tu bwana mdogo!Bado tu unapenda kuajiriwa? Nawaza tofauti sana si kwangu tu hata kwa wanangu Mkuu
Hazina ya wizi wa raslimali!? Unaumwa kweli na utalaaniwa we na huyu mwizi unayemteteaWana Jf,