hata mm nakubari hili miaka fulani kama 12 nyuma tulizomikiwa na bajaji vike vi RE2strock mikocheni kule kwa mwinyi baada kutuhoji na kujiridhisha
sikuamini jamaa wakatuvuta mpk mwananyamala hosptari maskani yetu ya bajaji
then hao wakasepa
sometine hawa jamaa wakiamua tu jambo lao
ila FAHAMU KUWA WAKIAMUA USIWALAZIMISHE NA WALA USIWAOMBE yaan mpaka waseme wenyewe
Mbona tena waliwaacha sehemu hatarishi maana pale Nera to Clinic mida flani ya usiku panakuwa pa hatari na hata kutembea huwa unaambaa ambaa katikati kwenye kingo zinazogawa double road