kainoris
Senior Member
- Jul 1, 2022
- 197
- 228
[emoji23]Jichanganye ujae kwenye mfumo wao ndo utajua kwanini trekta lina mlio mkubwa kuliko speed
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Jichanganye ujae kwenye mfumo wao ndo utajua kwanini trekta lina mlio mkubwa kuliko speed
hata mm nakubari hili miaka fulani kama 12 nyuma tulizomikiwa na bajaji vike vi RE2strock mikocheni kule kwa mwinyi baada kutuhoji na kujiridhishaI can confirm this.
Waliwahi nipeleka home sema kazi inakua rahisi kama wako na mkubwa (boss) wao ila wakiwa wenyewe wanakusumbua.
Yaaan nii balaa tupuuuMbona tena waliwaacha sehemu hatarishi maana pale Nera to Clinic mida flani ya usiku panakuwa pa hatari na hata kutembea huwa unaambaa ambaa katikati kwenye kingo zinazogawa double road