SSP Solomon: Ukilewa na kushindwa kufika nyumbani, Polisi tutakulinda na kukufikisha salama

SSP Solomon: Ukilewa na kushindwa kufika nyumbani, Polisi tutakulinda na kukufikisha salama

I can confirm this.

Waliwahi nipeleka home sema kazi inakua rahisi kama wako na mkubwa (boss) wao ila wakiwa wenyewe wanakusumbua.
hata mm nakubari hili miaka fulani kama 12 nyuma tulizomikiwa na bajaji vike vi RE2strock mikocheni kule kwa mwinyi baada kutuhoji na kujiridhisha
sikuamini jamaa wakatuvuta mpk mwananyamala hosptari maskani yetu ya bajaji
then hao wakasepa
sometine hawa jamaa wakiamua tu jambo lao
ila FAHAMU KUWA WAKIAMUA USIWALAZIMISHE NA WALA USIWAOMBE yaan mpaka waseme wenyewe
 
Back
Top Bottom