Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
- Thread starter
-
- #21
HaiwezekaniNataka iwe kwenye keki mtu akila alewe Kuna mtu anajifanya mlokole kwenye birthday yake nataka nikamchangamshe atufanyie vituko kidogo...
Kikubwa nimuungishe mwana jf 😎Inafika ikiwa uji ama ungaunga na sisimizi wanavyopendaga sifa wanaila mpk wanafiamo..😂
Usifanye maisha kuwa magumu hivyo kupitia jokes unazozidharau ndizo pia unaweza kufanya biashara hiyohiyo mwisho wasiku lengo litimie.Haiwezekani
And please,put jokes aside and be serious.
Nipo kwenye biashara, sipo chitchat kwenye kufanya mizaha.
Nafanya kutokea nyumbani.Upo mbezi mwisho maeneo gani nikihitaji nije dukani.
Nina free cake class,ukipenda waweza join.ingependeza pia ungeweka na picha jinsi mkandaji ukiwa unakanda.tujue unaziandaa ukiwa katika Hali Gani yakiusafi.[emoji53]
wengine tunapenda tujue kitu kinaandaliwa katika mazingira Gani ndio tuwe huru kutumia
usijifiche jioneshe na bizaa zako tukuone.maji ushayavulia nguo tayaliNina free cake class,ukipenda waweza join.
Huko Kuna videos zinazoonyesha hatua zote za uandaaji.
Na mazingira nadhani yanaonekana huko,,,
Cake ni chakula,hivyo ni lazima ziandaliwe kiusafi.
Nina free cake class,ukipenda waweza join.
Huko Kuna videos zinazoonyesha hatua zote za uandaaji.
Na mazingira nadhani yanaonekana huko,,,
Cake ni chakula,hivyo ni lazima ziandaliwe kiusafi.
Nikajua una duka unazipeleka. Poa kama upo mbezi tuombe uzima ntakutafuta untengenezee ya xmass. Birthday za wanangu zishapita zote. [emoji1751][emoji1751]Nafanya kutokea nyumbani.
Cake zote zinapikwa kwa oda,Ukiweka oda kwanza ndipo unatengenezewa.
Nadhani hili nimeshaeleza Mkuuusijifiche jioneshe na bizaa zako tukuone.maji ushayavulia nguo tayali
Ukihitaji utanitafuta nikupe utaratibu wa kujoin.Tuna join kwa njia ipi? Ningependa kujifunza[emoji4]
Karibu Mkuu.Nikajua una duka unazipeleka. Poa kama upo mbezi tuombe uzima ntakutafuta untengenezee ya xmass. Birthday za wanangu zishapita zote. [emoji1751][emoji1751]
Asante dear. Kama hutojali nitumie no. Pm.Karibu Mkuu.
Hapana ,sina bakery bado..ikiwa tayari nitawajulisha.
Karibu sana kwa oda..
Unaruhusiwa kula bila sababu wala tukio lolote [emoji23].
Namba nimeweka pale juu kwenye uziAsante dear. Kama hutojali nitumie no. Pm.
Namba nimeweka pale juu kwenye uzi
Karibu,Dada Saint Anne: naomb nielekeze jins ya kupamb keki kwa njia ya kawaida isiyo hitaji garama nyingi,, kutengenez najua ila kupamba sas ndo kipengele
Karibu,
Huwa unatumia njia gani kupamba?