St A Cakes: Pata cake tamu, mchambuko kwa bei poa

St A Cakes: Pata cake tamu, mchambuko kwa bei poa

For twins
IMG-20230620-WA0008.jpg
 
ingependeza pia ungeweka na picha jinsi mkandaji ukiwa unakanda.tujue unaziandaa ukiwa katika Hali Gani yakiusafi.😕
wengine tunapenda tujue kitu kinaandaliwa katika mazingira Gani ndio tuwe huru kutumia
 
ingependeza pia ungeweka na picha jinsi mkandaji ukiwa unakanda.tujue unaziandaa ukiwa katika Hali Gani yakiusafi.[emoji53]
wengine tunapenda tujue kitu kinaandaliwa katika mazingira Gani ndio tuwe huru kutumia
Nina free cake class,ukipenda waweza join.
Huko Kuna videos zinazoonyesha hatua zote za uandaaji.
Na mazingira nadhani yanaonekana huko,,,
Cake ni chakula,hivyo ni lazima ziandaliwe kiusafi.
 
Nikajua una duka unazipeleka. Poa kama upo mbezi tuombe uzima ntakutafuta untengenezee ya xmass. Birthday za wanangu zishapita zote. [emoji1751][emoji1751]
Karibu Mkuu.
Hapana ,sina bakery bado..ikiwa tayari nitawajulisha.

Karibu sana kwa oda..
Unaruhusiwa kula bila sababu wala tukio lolote [emoji23].
 
Back
Top Bottom