St A Cakes: Pata cake tamu, mchambuko kwa bei poa

Ila punguzeni sukari jamani, keki za siku hizi masukari yanawekwa mengi mpaka inachosha.
 
Kama kuna mwanamke ana birthday 28/11/ na anapenda nimnunulie keki please aje inbox.
Jamani jamani wadada
Hakuna anayetaka kununuliwa cake?

Ofa hiyo [emoji23].



Nunua tu Mkuu,
Wapelekee hata majirani.
 
Keki nishapata, ngoja sasa nikatafute mchumba🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…