St. Francis Mbeya kuna siri gani?

Hizo division one hazina maana kama badae maishani hawatakiuwa na hela, life hili kuwa na hela ndio kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23], mimi sasa hivi naangalia A zangu za kwenye vyeti maeee hela ndio kila kitu
 
Ni wivu tuuuu
 
Nachojua watoto wa st Francis hata handwritting wanafunzi wooote ni ya aina moja tuu. Mengine watasema wengine
 
Hii ni shule ya Feza girls sasa kwa mazingira haya unadhani mtoto atashindwa kupiga one kali ukicheki mazingira yapo safi na walimu wapo wazuri.View attachment 2082654View attachment 2082655View attachment 2082656View attachment 2082657
Shule tulizosoma sisi unapewa tu namba ya mtihani kuhusu kusoma utajua mwenyewe, upambane Mchikichini, mara Mapambano karibia na pepa unaenda zako Pugu kupiga Prac za Physics, then unamalizia kwa Mzee Kiberiti Prac za Chemistry hiyo haitoshi mnajifundisha kufoji. Kudadadeki hili life tumshukuru Mungu hizi shule zetu Mungu anatupigania kwani mengine tunayo ya fanya mpaka kutoboa ni miujiza ya Mungu.

Sasa shule ina kila kitu michujo kila hatua then watu wanapiga vijiti vya saba eti unalalamika wamenunua, watu wamewekeza kwenye elimu na hawana masihala.

Ila yote kwa yote 1.7 au 1.3 A level ya serikali iheshimiwe maanake mbilinge zake Mungu mwenyewe anajua.

Hizi shule zetu za serikali basi tu sometimes matatizo ya kiuchumi ya familia zetu,ila kila mtu anapenda mwanae asome hizi shule za private zenye ufaulu mzuri,hapo St Francis kuna mpaka Waislam hawabagui ndio uone kuna baadhi ya wazazi hawataki masihala linapofika swala la elimu.
 
Me ni mwalimu ila ghafla nimeuchukia ualimu na elimu yenyewe
 
kausha Basi... mbona unaongea ukweli
 
Acha uongo mtoto wa kike
 
ur very right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…