Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Wengi wao wanakwenda Nnje ya Nchi,kama unategemea kuwaona wamejazana Vyuo vya hapa utasubiri sana Mkuu🙂Ndo maana vyuoni hawaonekani
🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wao wanakwenda Nnje ya Nchi,kama unategemea kuwaona wamejazana Vyuo vya hapa utasubiri sana Mkuu🙂Ndo maana vyuoni hawaonekani
Ila 99% ya hao wahltahiniwa are from Dar😁😁 and other regions.Mbeya is soooooooo blessed Land
Duh ni wapi nimelaumu mkuuWameset standard yao hivyo,kwanini uwalaumu?
Ni wivu tuuuuHio shule inanunua mitihani na kufanya mwezi mmoja kabla ya mitihani ya taifa ,na huwa maswali yanarudiwa kwa msisitizo mkubwa Sana ......
Hao watoto wanaomaliza huko hawana uwezo kabisa wa kufaulu hivo ,never ever ,....
Hapa bongo ukishakiwa na pesa hakuna kinachoshinfikana ,pepar za necta zinanunuliwa na watoto Wana solve mapema kabisa ...
Hio shule ada yake tu unaweza kula mwaka mzima ,kununua pepar wizaran kupitia kwa mamuruki ni kitu rahisi Sana .....mbaya zaidi wafanyakazi wengi wa serikali dawa yao ni pesa ,kwa million 20 anakuletea pepar la necta lotee mwezi mmoja kabla .....
Niamaini Mimi haya nayoyasema
Hauna 4.5m kwa mwaka sio?Kwanza sipeleki mtoto huko , nampeleka kata hizo Hela namuwekea Kama mtaji, div 3 inatosha na Hela ya mtaji juu
Shule tulizosoma sisi unapewa tu namba ya mtihani kuhusu kusoma utajua mwenyewe, upambane Mchikichini, mara Mapambano karibia na pepa unaenda zako Pugu kupiga Prac za Physics, then unamalizia kwa Mzee Kiberiti Prac za Chemistry hiyo haitoshi mnajifundisha kufoji. Kudadadeki hili life tumshukuru Mungu hizi shule zetu Mungu anatupigania kwani mengine tunayo ya fanya mpaka kutoboa ni miujiza ya Mungu.Hii ni shule ya Feza girls sasa kwa mazingira haya unadhani mtoto atashindwa kupiga one kali ukicheki mazingira yapo safi na walimu wapo wazuri.View attachment 2082654View attachment 2082655View attachment 2082656View attachment 2082657
Hiyo ni samsung mzee acha kujifanya mjuaji kumbe hujuiTecno screenshot asee siwezi kusoma chochote
kausha Basi... mbona unaongea ukweliHio shule inanunua mitihani na kufanya mwezi mmoja kabla ya mitihani ya taifa ,na huwa maswali yanarudiwa kwa msisitizo mkubwa Sana ......
Hao watoto wanaomaliza huko hawana uwezo kabisa wa kufaulu hivo ,never ever ,....
Hapa bongo ukishakiwa na pesa hakuna kinachoshinfikana ,pepar za necta zinanunuliwa na watoto Wana solve mapema kabisa ...
Hio shule ada yake tu unaweza kula mwaka mzima ,kununua pepar wizaran kupitia kwa mamuruki ni kitu rahisi Sana .....mbaya zaidi wafanyakazi wengi wa serikali dawa yao ni pesa ,kwa million 20 anakuletea pepar la necta lotee mwezi mmoja kabla .....
Niamaini Mimi haya nayoyasema
Acha uongo mtoto wa kikeSikusoma hapo. Nilisoma na wanafunzi wa Alevel waliosoma hapo. Walikuwa na div 1 za 14 lakini wote walikuwa weupeee ndani. Sijawahi kuona mtu anatoka shule inafaulu wakawa weupe kichwani kiasi hicho. Walituelezea shule yao kwa undani na tulishangaa sana.
Hapo kabla kuna ndugu yetu alianza kusoma hapo. Alichotuelezea mhmmm. Alihamishwa fastaa.
Ni Samsung A51.Tecno screenshot asee siwezi kusoma chochote
ACHA uongo mtoto wa kiume.Acha uongo mtoto wa kike
Siyo kweli. Wako vizuri miaka yotekausha Basi... mbona unaongea ukweli
ur very rightMimi nimesoma chuo na watoto wanaotoka hizo shule mkuu ...
Siku ya mtihani wanakutana na maswali waliyokuwa wanasolve mwezi mmoja kabla ya necta ...
Sio kwamba siku ya mtihani wanasoviwa hapa ,ila pepar linasoviwa week kadhaa kbala ya necta na hayo maswali ndio yanatoka necta ,mbaya zaidi walimu wanawasisitiza ,.
Usiwe mjinga kuelewa mambo yanayoendelea huko ...
Wananunua mtihani ,pamoja na kuwa na mazingira mazuri ya kusomea ,walimu wazuri ,malazi ,na ufundishaji mzuri ....wananunua mtihani mkuu ....
ina maana sisi tulosoma kipindi kile hatukuwa na akili kweli?Kwangu hawa ndio walitakiwa wa kwanza kitaifa, wale wadada wanachaji aise si wa mchezo