Azathioprine
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 589
- 376
Mimi nadhani ingekua bora zaidi kwenda kujifunza wanafanyaje wanafunzi wao wanafaulu vizuri. Fatilia historia, hawajaanza kufaulu leo. Wengine waende kujifunza watoto wetu pia wafanye vizuri SIO Kuanza kutafuta kasoro.Mimi binafsi nakataaa hayo matokeo aisee ,hata kama Wana akili huo ufaulu wa kiasi hicho Kuna kitu cha ziada ...hio shule ichunguzwe vzuri kuanzia miezi mitatu kabla ya kufanya mtihani na siku za mitihani