Azathioprine
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 589
- 376
Mimi nadhani ingekua bora zaidi kwenda kujifunza wanafanyaje wanafunzi wao wanafaulu vizuri. Fatilia historia, hawajaanza kufaulu leo. Wengine waende kujifunza watoto wetu pia wafanye vizuri SIO Kuanza kutafuta kasoro.Mimi binafsi nakataaa hayo matokeo aisee ,hata kama Wana akili huo ufaulu wa kiasi hicho Kuna kitu cha ziada ...hio shule ichunguzwe vzuri kuanzia miezi mitatu kabla ya kufanya mtihani na siku za mitihani
Na alifeli Yani, maisha sio one tuSie Waswahili tumewekeza sana kwny ufaulu na si ueleaa
Hizi division one kalikali zinapoteleaga wapi hadi hazionekani tena?
Tanzania one wa form four walio graduate sambamba na Samia Suluhu miaka hiyo sijui sasa hivi yupo pori gani wakati mwenzie sasa ni Rais?
Maswali mepesi lakini mbona wanafunzi wengine kule Kazulamimba wanafeli? Hawa watoe strategies tujue wengine waige vipi. Inaniuma kuona karne hii wanafunzi wanashindwa kufaulu hata kidato cha nne. Kuna jamaa yangu alifeli form 2 nilisoma name shule moja ya ajabu ajabu uko. Juzi akanambia eti daktari alivyompima akamwambia anaumwa ugonjwa unaitwa "INFECTIONS", nikamuuliza mara mbili na akasisitiza sana.Mitihani ya siku hizi hamna kitu 1. Rais wa kwanza wa Tanzania ni nyerer......... 2. Binadamu ana macho mawi.......
Mimi nadhani ingekua bora zaidi kwenda kujifunza wanafanyaje wanafunzi wao wanafaulu vizuri. Fatilia historia, hawajaanza kufaulu leo. Wengine waende kujifunza watoto wetu pia wafanye vizuri SIO Kuanza kutafuta kasoro.
Utaweka pesa yenyewe au ndio utakula? Ana uwezo wa kufanya hiyo biashara yenyewe? Invest kwenye elimu Kama uwezo upo.. Labda ukiwa hauna pesa.Kwanza sipeleki mtoto huko , nampeleka kata hizo Hela namuwekea Kama mtaji, div 3 inatosha na Hela ya mtaji juu
Yupo dada nilikuwa nae class moja ilibaki kidogo adisco ana GPA ndogo sana ila hao huwa na connections sasahivi yupo zake MarekaniMfano nani?
Mwaka huu tu ndio wametolewa hapo na shule ambayo inamilikiwa na JK, all in all hiyo shule bado iko njema angalia hata idadi ya walioingia 10 bora ni hatari tupu.Wameongoza KEMEBOS huyu muhaya anakuja juu si mchezo, Bwire naona kwa ALLIANCE alishindwa kabisa kumaintain
Kwani wanasomea kazi hapo?Elimu ya siku hizi imekuwa mdebwedo sana! Ukitaka kujua hili waulize walimu wa vyuo na waajiri. Binafsi sio Mara moja nimewafanyia interview vijana kwenye mambo ya kazi na naishia kusikitika jinsi uelewa wao ulivo wa mashaka
Hio shule inanunua mitihani na kufanya mwezi mmoja kabla ya mitihani ya taifa ,na huwa maswali yanarudiwa kwa msisitizo mkubwa Sana ......
Hao watoto wanaomaliza huko hawana uwezo kabisa wa kufaulu hivo ,never ever ,....