St. Francis Mbeya kuna siri gani?

Mkuu, wewe unamwona Samia mjanja sana kwa Magufuli kufa akawa Rais? Siyo wote wanapenda siasa ati. Actually, wapenda siasa ni wachache sana. Wakati Taifa la Isarel linaundwa 1947, Albert Einstein aliombwa kwenda kuwa Rais wao wa kwanza, akakataa.
 
ALLIANCE walikuwa wanaiba mitihanii aiseeee. Mhmmmm.
Una uhakika? Yule bwana alipigwa fitina na awamu ile....afu pia miuse ya pesa pesa za kuboresha shule akazipelekea academy n kwenye timu mwamba akapoteza every angle
 
Waafrika umaskini umetuharibu sana akili ...hatuamini kabisa km tukiweka juhudi mambo yanawezekana jamii km wayahudi ivi vitu ni vya kawaida kbsa

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Chuki itakuua mkuu pole

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Una uhakika? Yule bwana alipigwa fitina
Nina uhakika asimilia 100. Mitihani tu ya ndani kama vile terminal walimu walikuwa wanawapa majibu wanafunzi ili wafanye vizuri wazazi wafurahi.
Ikifika NECTA sasa mhmmm niishie hapa. Hamna cha fitna wala nini.
 
Acha uongo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
We endelea kushabikia mpira una low IQ sijawahi kuona kwa haya uliyoandika nimeamini kuwa upo na akili ndogo sana
Hebu check wakati wa jpm matokeo Yao yalikuwaje Mana jamaa Alibana Sana wizi wa mitihani.
Shule za serikali zikaenda juu Sana.
Nimeshawahi kupiga tempo shule moja private nayo inawika hivyo2.
Nilikuwa nawafundisha advance physics jinsi ambavyo nilikuwa napitia Pepa zao za shule ni vilaza ama ni kawaida Ila mtihani ukija wanakuwa na maksi nzuri.
Ila jinsi unavyotoa quiz ubaoni wanavyosovu hata Ile interaction wanavyo respond unawacheck uwezo wao mkuu. So Kama mtu mzima unajijumlisha
 
Nakuamini. Najua ulisoma hapo.
Sikusoma hapo. Nilisoma na wanafunzi wa Alevel waliosoma hapo. Walikuwa na div 1 za 14 lakini wote walikuwa weupeee ndani. Sijawahi kuona mtu anatoka shule inafaulu wakawa weupe kichwani kiasi hicho. Walituelezea shule yao kwa undani na tulishangaa sana.
Hapo kabla kuna ndugu yetu alianza kusoma hapo. Alichotuelezea mhmmm. Alihamishwa fastaa.
 
Wanauziwa na nani...Msonde/Necta?

Elimu ni ya katoliki.Nenda kajifunze Kanisani walioleta elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…