St. Francis Mbeya kuna siri gani?

St. Francis Mbeya kuna siri gani?

Yiyp
giphy.gif
 
Mkuu, wewe unamwona Samia mjanja sana kwa Magufuli kufa akawa Rais? Siyo wote wanapenda siasa ati. Actually, wapenda siasa ni wachache sana. Wakati Taifa la Isarel linaundwa 1947, Albert Einstein aliombwa kwenda kuwa Rais wao wa kwanza, akakataa.
Sie Waswahili tumewekeza sana kwny ufaulu na si ueleawa

Hizi division one kalikali zinapoteleaga wapi hadi hazionekani tena?

Tanzania one wa form four walio graduate sambamba na Samia Suluhu miaka hiyo sijui sasa hivi yupo pori gani wakati mwenzie sasa ni Rais?
 
ALLIANCE walikuwa wanaiba mitihanii aiseeee. Mhmmmm.
Una uhakika? Yule bwana alipigwa fitina na awamu ile....afu pia miuse ya pesa pesa za kuboresha shule akazipelekea academy n kwenye timu mwamba akapoteza every angle
 
Watanzania tuko kinyume sana na mafanikio ya wengine......mioyo yetu na akili zetu muda wote zinatarajia habari mbaya na maanguko ya watu baada ya mafanikio......

Mafanikio ya mtu au kikundi cha watu tunazipokea kwa mshituko wa chuki na hasira ili kufurahisha mioyo yetu hasi tunatafuta namna ya kuyatia doa mafanikio hayo.......

Wengi wetu hatutambui na kuthamini juhudi za watu wengine juu ya mafanikio yao badala yake tunawapachika majina mabaya......

Ili uishi Tanzania unatakiwa kuwaelewa watanzania na hawa ndio waTanzania kwa wingi wao......

Hongereni ST FRANCIS MBEYA juhudi zenu zimeonekana na kuwaangaza kwa watu wanaoshangilia na kufurahia mafanikio ya watu.....
Waafrika umaskini umetuharibu sana akili ...hatuamini kabisa km tukiweka juhudi mambo yanawezekana jamii km wayahudi ivi vitu ni vya kawaida kbsa

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kama unataka kuaamini ,baada ya kumaliza huo mtihani ,wachukue hao watoto watungue paper la standard ya kawaida tu , then wape uone kama hao watoto wote 97 wanaweza kupata one ya point 7 .....

Unajua div 1.7 wewe ,yaani watoto wote hao wapate A 7 kwenye masomo yao ?????.....

Hao watoto ni weupe mno ,believe me ,ni vile tu hata advance wanapelekwa shule za aina hio hio ,Bado vyuoni wanaenda kupotea kwani hawaoneshagi uwezo huo kabisa ,wanaishia gpa za 2.3 na supp juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Big no ,
Chuki itakuua mkuu pole

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Una uhakika? Yule bwana alipigwa fitina
Nina uhakika asimilia 100. Mitihani tu ya ndani kama vile terminal walimu walikuwa wanawapa majibu wanafunzi ili wafanye vizuri wazazi wafurahi.
Ikifika NECTA sasa mhmmm niishie hapa. Hamna cha fitna wala nini.
 
Aliyefaulu kiukweli bila kuiba mtihani ni huyo wa Ilboru, kipindi nimeenda advance level darasa letu lilikuwa na hao waliotoka st Francis na kila mtu aliwaogopa chakushangaza mtihani wa kwanza marks walizopata ni tofauti na hizo one zao. Huko private ni business kwa kwenda mbele na solving za paper kwa ajili ya kupata A za kutosha wakati zikija kitaa inputs yake ni zero kabisa
Acha uongo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
We endelea kushabikia mpira una low IQ sijawahi kuona kwa haya uliyoandika nimeamini kuwa upo na akili ndogo sana
Hebu check wakati wa jpm matokeo Yao yalikuwaje Mana jamaa Alibana Sana wizi wa mitihani.
Shule za serikali zikaenda juu Sana.
Nimeshawahi kupiga tempo shule moja private nayo inawika hivyo2.
Nilikuwa nawafundisha advance physics jinsi ambavyo nilikuwa napitia Pepa zao za shule ni vilaza ama ni kawaida Ila mtihani ukija wanakuwa na maksi nzuri.
Ila jinsi unavyotoa quiz ubaoni wanavyosovu hata Ile interaction wanavyo respond unawacheck uwezo wao mkuu. So Kama mtu mzima unajijumlisha
 
Nakuamini. Najua ulisoma hapo.
Sikusoma hapo. Nilisoma na wanafunzi wa Alevel waliosoma hapo. Walikuwa na div 1 za 14 lakini wote walikuwa weupeee ndani. Sijawahi kuona mtu anatoka shule inafaulu wakawa weupe kichwani kiasi hicho. Walituelezea shule yao kwa undani na tulishangaa sana.
Hapo kabla kuna ndugu yetu alianza kusoma hapo. Alichotuelezea mhmmm. Alihamishwa fastaa.
 
Mkuu hakuna ufaulu wa namna hio ,kwa hio ratio ....

Hapo ni wazi kabisa wamenunua mtihani na kusolve ...

Hakuna kitu kama hicho ,watoto wa kitanzania Mimi nawajua ,kuapata div 1.7 kaa watoto wote sio kwa uwezo wao ,japo wenye uwezo wapo lakin sio kwa hio idadi kabisa ...


Mimi nakataa kabisa [emoji1787]
Wanauziwa na nani...Msonde/Necta?

Elimu ni ya katoliki.Nenda kajifunze Kanisani walioleta elimu.
 
Back
Top Bottom