St. Francis Mbeya kuna siri gani?

St. Francis Mbeya kuna siri gani?

Namkumbuka girlfriend wangu, alikua anasoma hii shule. Alikua na akili za kuelewa haraka mpaka nikawa namshangaa. Alipoenda kusoma University Ulaya ukawa ndiyo mwisho wa mahuasiano yetu.
Basi inaonekana ulikuwa kilaza sana 😜😜
 
Hio shule inanunua mitihani na kufanya mwezi mmoja kabla ya mitihani ya taifa ,na huwa maswali yanarudiwa kwa msisitizo mkubwa Sana ......

Hao watoto wanaomaliza huko hawana uwezo kabisa wa kufaulu hivo ,never ever ,....

Hapa bongo ukishakiwa na pesa hakuna kinachoshinfikana ,pepar za necta zinanunuliwa na watoto Wana solve mapema kabisa ...

Hio shule ada yake tu unaweza kula mwaka mzima ,kununua pepar wizaran kupitia kwa mamuruki ni kitu rahisi Sana .....mbaya zaidi wafanyakazi wengi wa serikali dawa yao ni pesa ,kwa million 20 anakuletea pepar la necta lotee mwezi mmoja kabla .....

Niamaini Mimi haya nayoyasema
Nyie ndo wachawi wenyewe, ulishawahi kufika shuleni ukaona wanavofundisha?
 
Hio shule inanunua mitihani na kufanya mwezi mmoja kabla ya mitihani ya taifa ,na huwa maswali yanarudiwa kwa msisitizo mkubwa Sana ......

Hao watoto wanaomaliza huko hawana uwezo kabisa wa kufaulu hivo ,never ever ,....

Hapa bongo ukishakiwa na pesa hakuna kinachoshinfikana ,pepar za necta zinanunuliwa na watoto Wana solve mapema kabisa ...

Hio shule ada yake tu unaweza kula mwaka mzima ,kununua pepar wizaran kupitia kwa mamuruki ni kitu rahisi Sana .....mbaya zaidi wafanyakazi wengi wa serikali dawa yao ni pesa ,kwa million 20 anakuletea pepar la necta lotee mwezi mmoja kabla .....

Niamaini Mimi haya nayoyasema
Una matatizo mengi sana
 
Alinikubali tu the way I am.
Ila hawa watu uwezo wanao, nakumbuka chuo nilisoma na kijana mmoja kutoka kibaha ule moto hapana mtu aliyepata division one ya saba ama division one ya tatu muogope hata kama ni ya mchongo, uwezo wao huwa upo juu sana.

Hivyo nakubaliana na wewe kuhusiana na huyo binti uelewa wake ulivyokuwa juu, wakishika kitu hawasahau kabisa.
 
Ila hawa watu uwezo wanao, nakumbuka chuo nilisoma na kijana mmoja kutoka kibaha ule moto hapana mtu aliyepata division one ya saba muogope hata kama ni ya mchongo, uwezo wao huwa upo juu sana.

Hivyo nakubaliana na wewe kuhusiana na huyo binti uelewa wake ulivyokuwa juu.
St. Francis ni sawa na vipaji maalum kwa shule za binafsi, kwasababu wanaopita interview karibia wote wamechaguliwa vipaji maalum. Ukiwafundisha kwa spoon feed wanakua moto zaidi.

Hawa watu wako vizuri sana, kinachowafelisha mbeleni ni ujifunzaji mpya. Nakumbuka niko form 4 nafanya mitihani ya jumamosi ya kitaa akaja dogo wa Maua Seminary wa form 3 akawa anafanya mitihani ya form 4. Alitukimbiza mpaka likizo inaisha.
 
Hio shule inanunua mitihani na kufanya mwezi mmoja kabla ya mitihani ya taifa ,na huwa maswali yanarudiwa kwa msisitizo mkubwa Sana ......

Hao watoto wanaomaliza huko hawana uwezo kabisa wa kufaulu hivo ,never ever ,....

Hapa bongo ukishakiwa na pesa hakuna kinachoshinfikana ,pepar za necta zinanunuliwa na watoto Wana solve mapema kabisa ...

Hio shule ada yake tu unaweza kula mwaka mzima ,kununua pepar wizaran kupitia kwa mamuruki ni kitu rahisi Sana .....mbaya zaidi wafanyakazi wengi wa serikali dawa yao ni pesa ,kwa million 20 anakuletea pepar la necta lotee mwezi mmoja kabla .....

Niamaini Mimi haya nayoyasema
Hii hoja yako ni dhaifu coz kama issue ni ada kubwa na wana fedha za kuwawezesha kununua mitihani kwa nini isiwe kwa shule nyingine? Hivi unajua Kuna shule ada ni between milioni 10 - 40? International schools ada mpaka milioni 70... Hebu tujifunze ku appreciate kazi nzuri na commitment kwa hii shule..
 
Tupe matokeo wakati wa jpm ilikuwaje mkuu.
Iko ivi Kuna bodi ama umoja wa private schools wanajichaga mzee hata kitu bilioni ama let say 500M. Wewe hesabu ziko shule ngapi Tanzania nzima.
Wanateua mtu mmoja anamtafutia mtu husika anapewa kila kitu wanakuja kusovu.
Inaweza ikawa let say 50M ama hata Mia milioni hawawezi kukosa kutopewa hela.
Watu wako kibiashara mkuu wanatafuta pesa na sio kuwa wanakupenda wewe.
Kama matajiri ama wafanyabiashara wanajichaga hela anapelekewa rpc kitu like 200M ili wanaume wapitishe magendo ya mabilioni unadhani rpc atachomoa hapo wakati mpaka astaafu ndo aishike iyo hela.
Wasomi ama watalaamu wenyewe wanatengeneza magonjwa baadaye wanaleta chanjo unadhani wanakupenda na huku wanataka uwe mtumwa milele utafute hela uwapelekee.
Kama wanasiasa wanavyokunyonya uandhani wanakutumikia kumbe unawatumikia wao.
Hata ulimwengu wa Giza wanakuroga afu wanakupa mganga wa kienyeji kukutatulia so ni system how one man to eat many men in this world. Especially very strongest ones eat on the both stronger strong weak weaker and weakest.
So you can evaluate yourself where are in that pyramid above.
Even strongest countries eat on poor ones.

Kuna kijana mmoja alikuja Tabora boys kwa advance alikuja na wani ya 7 kutokea saint mbona necta akasepa na zero yake Safi.
Jamaa wanafundisha kweli Ila bado Kuna kitu nyuma mkuu.
Yaani maswali yanarudiwa bila wao kujua sema wakiingia kwa pepa Kama yote. Swali la essay wanalirudia like 5 times hata kilaza ataelewa.

Hao vijana nenda vyuoni hawana wonders yoyote.
Mana afu chuoni hakuna spoon feeding.
Serikali schools zinamfundisha ama kumshepu mtt kulingana yeye mwenyewe Mana maisha sio kukaa kuletewa.

Binafsi sikubaliani na matokeo haya.
Hao watt Kama wanabisha niwatungie Pepa la physics na maths afu niwape na vijana wa like ilboru boys Tabora mzumbe kibaha Tabor girls msalato afu tuwaone watakuwa wapi kigredi.

Hii dunia bana wewe iache Kama ilivyo.
Watu walitaka kuuza silaha zao wanafanya mpigane.
Ama kuuza dawa zao wanaleta magonjwa afu mle madawa.
Eg pharmacists industry naamini kuwa Ina create customers but not cure. Since a patient cured is a customer lost.
Wewe mwl unaonekana kilaza.
 
Mimi nimesoma chuo na watoto wanaotoka hizo shule mkuu ...

Siku ya mtihani wanakutana na maswali waliyokuwa wanasolve mwezi mmoja kabla ya necta ...

Sio kwamba siku ya mtihani wanasoviwa hapa ,ila pepar linasoviwa week kadhaa kbala ya necta na hayo maswali ndio yanatoka necta ,mbaya zaidi walimu wanawasisitiza ,.

Usiwe mjinga kuelewa mambo yanayoendelea huko ...

Wananunua mtihani ,pamoja na kuwa na mazingira mazuri ya kusomea ,walimu wazuri ,malazi ,na ufundishaji mzuri ....wananunua mtihani mkuu ....
Nina jirani yangu huwa kila mwaka anashiriki kusahihisha mitihani for more than 10 years now, nimemuonyesha hii comment yako amesema hilo haliwezekani.
 
Hakuna Siri yoyote ,wale Wanachaguua watoto wenye vipaji tangu Form One Sasa unategemea nini?
HaO wote wakienda A Level wanakula sambamba na watoto wa Mpiga Miti Sekondari ya Newala
Vipaji wapiiii.. Acheni uzumbukuku na matokeo ya kununua au kuonyesha majibu watoto ktk mitihani
 
Hio shule inanunua mitihani na kufanya mwezi mmoja kabla ya mitihani ya taifa ,na huwa maswali yanarudiwa kwa msisitizo mkubwa Sana ......

Hao watoto wanaomaliza huko hawana uwezo kabisa wa kufaulu hivo ,never ever ,....

Hapa bongo ukishakiwa na pesa hakuna kinachoshinfikana ,pepar za necta zinanunuliwa na watoto Wana solve mapema kabisa ...

Hio shule ada yake tu unaweza kula mwaka mzima ,kununua pepar wizaran kupitia kwa mamuruki ni kitu rahisi Sana .....mbaya zaidi wafanyakazi wengi wa serikali dawa yao ni pesa ,kwa million 20 anakuletea pepar la necta lotee mwezi mmoja kabla .....

Niamaini Mimi haya nayoyasema
Ada yao unaijua? Watoto wanavyopatikana unajua? Mazingira yao unayajua? Kama haujui kaa kimya. Shule ya binafsi kuwa na ada ya 2.3m ni kawaida. Shule ngapi zina ada ya zaidi ya 3.5 zinashindwa kutoa matokeo? Wewe peleka mtoto wako huko unakodhani hawanunui mitihani akuletee makalai na D za kumwaga.
 
Hebu check wakati wa jpm matokeo Yao yalikuwaje Mana jamaa Alibana Sana wizi wa mitihani.
Shule za serikali zikaenda juu Sana.
Nimeshawahi kupiga tempo shule moja private nayo inawika hivyo2.
Nilikuwa nawafundisha advance physics jinsi ambavyo nilikuwa napitia Pepa zao za shule ni vilaza ama ni kawaida Ila mtihani ukija wanakuwa na maksi nzuri.
Ila jinsi unavyotoa quiz ubaoni wanavyosovu hata Ile interaction wanavyo respond unawacheck uwezo wao mkuu. So Kama mtu mzima unajijumlisha
Kipindi cha magufuli kipi twende ya mwaka 2020 tu hapo. Mbona ilikua na 1 tupu na zote single digit na ilikua ya kwanza kitaifa
 
Hio shule inanunua mitihani na kufanya mwezi mmoja kabla ya mitihani ya taifa ,na huwa maswali yanarudiwa kwa msisitizo mkubwa Sana ......

Hao watoto wanaomaliza huko hawana uwezo kabisa wa kufaulu hivo ,never ever ,....

Hapa bongo ukishakiwa na pesa hakuna kinachoshinfikana ,pepar za necta zinanunuliwa na watoto Wana solve mapema kabisa ...

Hio shule ada yake tu unaweza kula mwaka mzima ,kununua pepar wizaran kupitia kwa mamuruki ni kitu rahisi Sana .....mbaya zaidi wafanyakazi wengi wa serikali dawa yao ni pesa ,kwa million 20 anakuletea pepar la necta lotee mwezi mmoja kabla .....

Niamaini Mimi haya nayoyasema
Nilitaka nikomenti mkuu naona nlichelewa, SINA CHA KUONGEZA.
 
Shule ya St. Francis's ni nzuri sana...yaani Yale Mazingira mtoto anafelije? Uwezo wa Wanafunzi ni mkubwa sana kwenye ile shule unakutana na katoto kako form II Ila kanajibu maswali Kwa kujiamini
Hata vyuoni uwezo wao ni mkubwa tu wachahe wanajisahau Ila wanauwezoa Sana.
Kuna wawili nawajua wamesoma pale Leo ni Madaktari Bingwa Pale Moi.
 
Kufaulu hiyp mitihani sio kitu cha ajabu kabisa. Nawashangaa hata wanaodhani kua shule inanunua mitiani.

Maswali huwa hayabadili saana, mwalimu akikomaa na past papers ni rahisi kufaulisha namna hiyo.

Mtu unajua kabisa section A inatoa maswali kuhusu hiki na kile, section B ni mada hizi na hizi hivi kweli ushindwe kupasua ukiwa makini.

Wanajituma acha wafaulu
 
Back
Top Bottom