St. Francis Mbeya kuna siri gani?

St. Francis Mbeya kuna siri gani?

Sikia nikwambie mkuu maisha ya shule Mimi nayajua Tena zaidi ya unavodhani ...

Shule kubwa kama hizo ,zinawalimu wakubwa Sana wenye uzoefu wa hali ya juu ,na wanakuwa na connection na walimu wengine zaidi ..

Wanaotunga mitihani ni walimu kutoka kanda mbalimbali ,na wabobevu ,hutoa maswali na mwisho wa siku mtihani kitungwa ...

Utake usitake ,upende usipende hizi shule zinamazingira Safi ,walimu Safi ,lakini wananunua mitihani week kadhaa kabla ya pepar ,.....

Fuatilia mitihani wanayofuanya week mbili kabla ya mtihan pre -necta ,ready for necta ,hio ndio mitihan inayotolewa imejaa maswali yanayotoka necta ...

Sio kwamba wanasoviwa siku ya mtihan hapana ,wanafanya maswali yatakayotoka necta week kabla na walimu wanasisitiza kuyakalili ,....

Kama Kuna swali gumu ambalo linasahaulika ,basi mwalimu ataliimba darasana kila siku na mwisho wa siku wanalikuta necta ....

A inaanzia 81-100 ,bro mtihan wa physics , mathematics , biology , chemistry kwa watoto wote 97 wapate A ,???????? Hawa wa kibongo kabisa ? Woteeeee ? ....

Aiseee ,Mimi nakataa hayo matokeo ...hao watoto uwezo wao wa kawaida tu ,sio wa kupata huo ufaulu wote ,kwa kusema sijui walimu Bora ,mazingira Bora ,...
Kwa hiyo huamini kwamba 97 students wanaweza kupata A, ila mmoja au wawili, watatu wanaweza kupata? What's the difference? Ndiyo maana ya ule msemo: ^Tembea uone!^

Shule za namna hii huwa ziko serious from the day unaingia shule hadi siku unahitimu. Hakuna muda wa kupoteza wala hakuna upuuzi ulioko kwenye shule nyingi za serikali. Ni mwendo wa kujisomea na kujiandaa.

Then, mapema sana huwa silabasi wanakuwa wamekava. Inabaki review na kujiandaa kwa kufanya mitihani mbalimbali ya ndani na nje.

Wewe endelea ^kuka-taa,^ huku wenzio wakiendelea kuwasha taa!
 
Mitihani ya siku hizi hamna kitu 1. Rais wa kwanza wa Tanzania ni nyerer......... 2. Binadamu ana macho mawi.......
Utakuta matoto mengine yanajaza 'le' badala ya 're' na amefundishwa huyo.

Na wale wanao kumbuka kujaza sahihi ndo wanafaulu hivyo!
 
Labda niulizie tu, kuna nchi nyingine yo yote jirani (mfano Kenya, Uganda, Zambia) ambazo wanafunzi hufaulu kwa kiwango cha aina hii?
 
Tuache wivu usio na maana,
Tusiongee tusiyo yajuwa,

Tembelea ile shule uone walivyo makini.

Kuanzia kutunza muda, kazi za ziada pamoja na masomo.

Ni kweli kabla ya kuingia pale lazima mwanafunzi afanye mtihani wao, ambapo waliofaulu vizuri ndio huchaguliwa, hakuna rushwa.

Hivyo siri ya kwanza ni uchaguzi wa wanafunzi.

Siri ya pili ni walimu bora na wanao jituma.

Siri ya tatu ni motisha kwa walimu na wafanyakazi kutoka kwa mwajiri.

Siri ya nne ni nidhamu kali ikiambatana na sheria zao

Siri nyingine ni kumcha Mungu, wana ratiba nzuri ya kumcha Mungu

Siri nyingine ni nidhamu ya ratiba na muda, kwa waliopeleka watoto wao pale waulize hutokea nini wakichelewa hata dakika 5.

Hakika wanastahili pongezi.

Hivyo badala ya kubeza, yafaa kujifunza utaratibu wao wa ulezi na ufundishaji.

Ada yao 2021 ilikuwa around milioni mbili na laki tano kwa mwaka, shule nyingi pia zinatoza hivyo.

Dhana ya kwamba A level hawafaulu sana ni kwa sababu ya ufundishaji tu wa shule waendazo.

Hata huko vyuoni, sababu ni hizo hizo, na uhuru ambao hawajauzoea na hupelekea kujisahau kisha kuharibikiwa, wababa na vijana wengi huwaharibu watoto wa vyuo iwe kwa tamaa au ushawishi. Lakini pia bado wahadhiri wengine wana ile tabia ya kukomoana, ama kutofundisha ipasavyo...

#Kutokufaulu siyo chaguo!

Hongera sana kwa St. Francis Girls.
Aksante sana...
Jamani tujifunze...mimi ni Mwalimu...ufaulu wa mwanafunzi ni mazingira anayojengewa, Mwalimu awe na hamasa, ufuatiliaji, ratiba nzuri, vijana wakiandaliwa vizuri, wanafaulu. Niliwahi kuwasaidia wanafunzi wa kidato cha nne wa shule moja ya kata...jamani jamani, wana sababu zote za kupata hizo alama wanazopata...wengi hawamalizi mada kwa wakati, hakuna walimu kwenye baadhi ya masomo, mwalimu mmoja ana mzigo mzito wa vipindi, ufuatiliaji mdogo, hawana hamasa, mazingira magumu ya kazi...na mengine mengi.
Tujifunze kutoka St Francis...sio rahisi kuwa na mafanikio hayo kwa muda wote huo!
 
Kwanza huo mchakato wa kupata nafasi pale unaufahamu vizuri? Ndungu yangu pale wanakwenda top cream,nina watoto wawili nawafahamu wamepita pale na wote wametoka na GPA ya 3.9 na 3.8 UDSM tena Civil Engineering na Geology.Tukubali tu pale wanakwenda watoto walio vizuri kichwani.
Hilo swali unaniuliza mimi au haujaelewa hoja yangu? Ninawafahamu tangu interview yao ya kwanza walipoanza na darasa moja. Mpaka interview yao ya mwisho yenye wanafunzi 92.
Wazazi mnaishia getini. Watoto wanaingia ndani. Labda nikutumie mpaka form. Address lazima wajaze ya mtu wa mb kwa ajili ya likizo fupi na dharura, maana shule nyingi zinafanya makosa ya kufundisha muda mrefu bila kupumzika.
Kikubwa wanachukua watoto wenye speed. Angalia matokeo yao ya form 2 wanazo B 11 tu kati ya 92×10. Unadhani hapo wanaandaa nini 2024?
Lakini Physics kwao inakuwa shida kidogo hata mwaka jana physics walizidiwa na Pandahill. Maana hiyo hata ukiwa na speed bado uelewa unahitajika pamoja na mwalimu mzuri.
 
Sikia nikwambie mkuu maisha ya shule Mimi nayajua Tena zaidi ya unavodhani ...

Shule kubwa kama hizo ,zinawalimu wakubwa Sana wenye uzoefu wa hali ya juu ,na wanakuwa na connection na walimu wengine zaidi ..

Wanaotunga mitihani ni walimu kutoka kanda mbalimbali ,na wabobevu ,hutoa maswali na mwisho wa siku mtihani kitungwa ...

Utake usitake ,upende usipende hizi shule zinamazingira Safi ,walimu Safi ,lakini wananunua mitihani week kadhaa kabla ya pepar ,.....

Fuatilia mitihani wanayofuanya week mbili kabla ya mtihan pre -necta ,ready for necta ,hio ndio mitihan inayotolewa imejaa maswali yanayotoka necta ...

Sio kwamba wanasoviwa siku ya mtihan hapana ,wanafanya maswali yatakayotoka necta week kabla na walimu wanasisitiza kuyakalili ,....

Kama Kuna swali gumu ambalo linasahaulika ,basi mwalimu ataliimba darasana kila siku na mwisho wa siku wanalikuta necta ....

A inaanzia 81-100 ,bro mtihan wa physics , mathematics , biology , chemistry kwa watoto wote 97 wapate A ,???????? Hawa wa kibongo kabisa ? Woteeeee ? ....

Aiseee ,Mimi nakataa hayo matokeo ...hao watoto uwezo wao wa kawaida tu ,sio wa kupata huo ufaulu wote ,kwa kusema sijui walimu Bora ,mazingira Bora ,...
O-Level Grading system
75-100 = A
65-74= B
45-64= C
30-44= D
0-29= F

NARUDIA TENA...
TUJIFUNZE KUTOKA KWENYE MAFANIKIO YA WENGINE, KUNA MAMBO MENGI SANA HATUYAJUI!
HONGERENI SANA ST FRANCIS!
 
mitihani inatungwa rahisi kisiasa kwa ajili ya wanasiasa wa ccm kuja kusema 'ufaulu umeongezeka'. kwa hali kama hiyo na kwa shule kama St. Francis ambapo nyenzo na mazingira ni rafiki sana kwa wanafunzi, ufaulu wa aina hii unatarajiwa.
 
Big No.
Mitihani iko very standard...hebu fuatilia matokeo kwenye shule zetu za kata.
Kwa mazingira ya sasa...mambo mengi yamerahisishwa, tofauti na miaka ya nyuma...ni jitihada ya mtoto na mazingira yake...
 
Hongera sana kwao, sema inafikirisha sana 1.7 nyingi hivo si kitu cha kawaida, scenarios zinaenda in both cases...positive au kuna issue pia..

Enzi tunasoma tulikua tunapambana sana kupata one/kufaulu sana...Nimekuwa mtu mzima nashangaa kwa nini hasa tulikua tunakesha etc na tulifaulu...Maisha baada ya chuo au masomo yapo tofauti...Kila watu wanafanikiwa kwa nafasi zao, kuna waliopata 4 but wameibukia kwingine...waliopata three wametoboa kikubwa, waliopata one wametoboa, na wengine wanamaisha ya kawaida tu kotekote.....

Nimekuja kuamini Mungu anatoa kwa wote aisee..kila mtu kwa nafasi yake...

Kwa vijana ambao hawakufaulu vizuri wala wasione ndo mwisho wa dunia, Maisha hayajafungwa kwenye 1.7 tu au 2 au 3.

Pata elimu, kuwa current, elewa system za ulimwengu huu zinavofanya kazi, networking, angalia fursa, jiamini...and DONT PUNICK....jusu play your part...the rest..THE SUPERNATURAL BEING WILL TAKE OVER
 
Big No.
Mitihani iko very standard...hebu fuatilia matokeo kwenye shule zetu za kata.
Kwa mazingira ya sasa...mambo mengi yamerahisishwa, tofauti na miaka ya nyuma...ni jitihada ya mtoto na mazingira yake...
unataka kubishana.

tafuta mtihani wa Basic Mathematics 1996 wape wanafunzi (na walimu wao) wa hizi shule za mfumo wa Kata uone kama yupo mmoja atatoka japo na B.
 
unataka kubishana.

tafuta mtihani wa Basic Mathematics 1996 wape wanafunzi (na walimu wao) wa hizi shule za mfumo wa Kata uone kama yupo mmoja atatoka japo na B.
Binafsi nafundisha Basic Mathematics...je, unaamini wanafunzi(100+) niliowafundisha f4 2021 hawana F hata moja kwenye somo hilo???
 
Kama unataka kuaamini, baada ya kumaliza huo mtihani, wachukue hao watoto watungue paper la standard ya kawaida tu, then wape uone kama hao watoto wote 97 wanaweza kupata one ya point 7.....

Unajua div 1.7 wewe ,yaani watoto wote hao wapate A 7 kwenye masomo yao?????.....

Hao watoto ni weupe mno ,believe me, ni vile tu hata advance wanapelekwa shule za aina hio hio ,Bado vyuoni wanaenda kupotea kwani hawaoneshagi uwezo huo kabisa ,wanaishia gpa za 2.3 na supp juu😂😂😂😂

Big no
Siri ya mafanikio yao cha kwanza kwenye mitihani ya kujiunga na shule hizo wanachukuwa cream ya watoto wenye uwezo kichwani tu na si vinginevyo.

Hizo GPA zenu huko vyuoni hazina maana yoyote kwa mtu anayeelewa mizengwe ya vyuo vyetu, mademu wasiotaka kuvuliwa chupi wanafelishwa makusudi.

Zipo shule nyingi wao hitaji lao kubwa ni ada tu, hata taahira mpeleke haina shida atapokelewa.
 
Aksante sana...
Jamani tujifunze...mimi ni Mwalimu...ufaulu wa mwanafunzi ni mazingira anayojengewa, Mwalimu awe na hamasa, ufuatiliaji, ratiba nzuri, vijana wakiandaliwa vizuri, wanafaulu. Niliwahi kuwasaidia wanafunzi wa kidato cha nne wa shule moja ya kata...jamani jamani, wana sababu zote za kupata hizo alama wanazopata...wengi hawamalizi mada kwa wakati, hakuna walimu kwenye baadhi ya masomo, mwalimu mmoja ana mzigo mzito wa vipindi, ufuatiliaji mdogo, hawana hamasa, mazingira magumu ya kazi...na mengine mengi.
Tujifunze kutoka St Francis...sio rahisi kuwa na mafanikio hayo kwa muda wote huo!
Mimi nimewahi kuitembelea St. Francis. Wanastahili na wamejengewa mazingira mazuri kwa kweli.
 
Mimi binafsi nakataaa hayo matokeo aisee, hata kama wana akili huo ufaulu wa kiasi hicho kuna kitu cha ziada... Hiyo shule ichunguzwe vzuri kuanzia miezi mitatu kabla ya kufanya mtihani na siku za mitihani

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimesoma hapo funny thing toka enzi zetu wa mwisho alikuwa na 2 ya mwanzo
Hatukuwahi kuletewa mtihani wala majibu
Ila niwashauri tu Kama mnataka shule nyingine ziperform kama hivyo nendeni mkae week moja tu mtajifunza kitu
Hakuna uchawi wowote ni kitabu na sala kwa sana
Nilikuwa nasali jamani nusu niwe sister na mimi [emoji2]
 
Mimi nimewahi kuitembelea St. Francis. Wanastahili na wamejengewa mazingira mazuri kwa kweli.
Aksante sana Mkuu...
Kuna shida kubwa kwa wengi wetu siku hizi kuingiza siasa kwenye mambo ya kitaalam...sijawahi kuitembelea hiyo shule, lakini nimebahatika kupata Pepa zao kwenye baadhi ya masomo e.g maths, ziko vizuri sana.
Suala la mtoto kufeli advance na chuo ni mazingira tu...
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimesoma hapo funny thing toka enzi zetu wa mwisho alikuwa na 2 ya mwanzo
Hatukuwahi kuletewa mtihani wala majibu
Ila niwashauri tu Kama mnataka shule nyingine ziperform kama hivyo nendeni mkae week moja tu mtajifunza kitu
Hakuna uchawi wowote ni kitabu na sala kwa sana
Nilikuwa nasali jamani nusu niwe sister na mimi [emoji2]
Sasa usiivunjie heshima shule yako, unapoanza sentensi anza na herufi kubwa.

Ni very basic ya uandishi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimesoma hapo funny thing toka enzi zetu wa mwisho alikuwa na 2 ya mwanzo
Hatukuwahi kuletewa mtihani wala majibu
Ila niwashauri tu Kama mnataka shule nyingine ziperform kama hivyo nendeni mkae week moja tu mtajifunza kitu
Hakuna uchawi wowote ni kitabu na sala kwa sana
Nilikuwa nasali jamani nusu niwe sister na mimi [emoji2]
Hii ni kamba ila poa tumekupata hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom